الإمام المهديّ ناصر محمّد اليمانيّ
14 - 09 - 1435 هـ
11 - 07 - 2014 مـ
11:40 صباحاً
(بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى)

[لمتابعة رابط المشاركة الأصليّة للبيان]
Kifurushi Cha Bayana
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=150774

ــــــــــــــــــــ


Bayan Ya Ushuhuda Ya Kumtoa Muhammad Mtume Wa Allah - Swallah Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam - Kutokana Kwamba Yeye Alikua Anmpenda Mke Wa Zaid Ibnu Al’Haritha ..




Asili Ya Kushiriki Ameiandika Alawab
Nini Hio Kitu Alikua Akificha Al’Nabi Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Katiaka Nafsi Yake ? Je Ni Matakwa Yake Ya Kumowa Mke Wa Zaid?
Allah Ta3ala Asema:


{وَإِذْ تَقُولُ لِلَّذِي أَنْعَمَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَأَنْعَمْتَ عَلَيْهِ أَمْسِكْ عَلَيْكَ زَوْجَكَ وَاتَّقِ اللَّهَ وَتُخْفِي فِي نَفْسِكَ مَا اللَّهُ مُبْدِيهِ وَتَخْشَى النَّاسَ وَاللَّهُ أَحَقُّ أَن تَخْشَاهُ فَلَمَّا قَضَى زَيْدٌ مِّنْهَا وَطَراً زَوَّجْنَاكَهَا لِكَيْ لَا يَكُونَ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ حَرَجٌ فِي أَزْوَاجِ أَدْعِيَائِهِمْ إِذَا قَضَوْا مِنْهُنَّ وَطَراً وَكَانَ أَمْرُ اللَّهِ مَفْعُولاً﴿37﴾} صدق الله العظيم
Alalh Ta3ala Asema:{ Na ulipo mwambia yule Mwenyezi Mungu aliye mneemesha, nawe ukamneemesha: Shikamana na mkeo, na mche Mwenyezi Mungu. Na ukaficha nafsini mwako aliyo taka Mwenyezi Mungu kuyafichua, nawe ukawachelea watu, hali Mwenyezi Mungu ndiye mwenye haki zaidi kumchelea. Basi Zaid alipo kwisha haja naye tulikuoza wewe, ili isiwe taabu kwa Waumini kuwaoa wake wa watoto wao wa kupanga watapo kuwa wamekwisha timiza nao shuruti za t'alaka. Na amri ya Mwenyezi Mungu ni yenye kutekelezwa(37)} Sadaqa Allah Al3adhim
,

Na Jee Kauli Ya Allah Ta3ala
{لاَ تَمُدَّنَّ عَيْنَيْكَ إِلَى مَا مَتَّعْنَا بِهِ أَزْوَاجاً مِّنْهُمْ وَلاَ تَحْزَنْ عَلَيْهِمْ وَاخْفِضْ جَنَاحَكَ لِلْمُؤْمِنِينَ﴿88﴾} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{Usivitumbulie macho yako vitu tulivyo waneemesha makundi fulani kati yao, wala usiwahuzunikie. Na wainamishie bawa lako (la huruma) Waumini (88)} Sadaqa Allah Al3adhim

inao uhusiano Na Maudhui hi Ama La?
Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Swala Na Salam Juu Ya Aliokhitimisha Ma Nabi Na Mi Mtume Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Alihi Walie Waziri Na Wote Waumini Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..
Basi Hakika Kuona Ndoto Kwa Ma Nabi Ni Ameri Kwao Kutoka Kwa Mola Mlezi Wao Na Yatakiwa Kwao Kuitekeleza Na Mfano Kwa Hayo Nabi Wa Allah Ibrahim Juu Yake Swala Na Salam Nae Anazungumza Na Mtoto Wake, Akasema

: {قَالَ يَا بُنَيَّ إِنِّي أَرَىٰ فِي الْمَنَامِ أَنِّي أَذْبَحُكَ فَانظُرْ مَاذَا تَرَىٰ ۚ قَالَ يَا أَبَتِ افْعَلْ مَا تُؤْمَرُ ۖ سَتَجِدُنِي إِن شَاءَ اللَّهُ مِنَ الصَّابِرِينَ (102)} صدق الله العظيم [الصافات]

Allah Ta3ala Asema Asema:{ Basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja. Basi angalia wewe, waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao subiri (102)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Asafat]
.
Na Tunachunguza Kutokana Na Hayo Kwamba Kuona Usingizini kwa ma Nabi ni amri kutoka kwa Mola Mlezi Wao wakati wakiona wanafanya kitu basi imewajibika juu yao kulifanya, Kwa jili ya hio alisema Nabi wa Allah Ibrahim:
{قَالَ يَا بُنَيَّ إِنِّي أَرَىٰ فِي الْمَنَامِ أَنِّي أَذْبَحُكَ فَانظُرْ مَاذَا تَرَىٰ ۚ قَالَ يَا أَبَتِ افْعَلْ مَا تُؤْمَرُ ۖ سَتَجِدُنِي إِن شَاءَ اللَّهُ مِنَ الصَّابِرِينَ (102)} صدق الله العظيم.
Alalh Ta3ala Asema:{ Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja. Basi angalia wewe, waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao subiri (102)} Sadaqa Allah Al3adhim
.
Basi Angalieni Kwamba ni amri amewajibika kwake kuitekeleza, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{قَالَ يَا أَبَتِ افْعَلْ مَا تُؤْمَرُ ۖ سَتَجِدُنِي إِن شَاءَ اللَّهُ مِنَ الصَّابِرِينَ (102)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{ Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao subiri (102)} Sadaqa Allah Al3adhim.

Na Kwa hayo ni mtihani Mku kutoka kwa Mola Mlezi Wake kwajili ya hivo Alimshuhudia Allah Nabi wake Ibrahim kwamba hio ni mtihani kutoka kwa Mola Mlezi Wake.
Aksema Allah Ta3ala
:
{وَنَادَيْنَاهُ أَنْ يَا إِبْرَاهِيمُ (104) قَدْ صَدَّقْتَ الرُّؤْيَا إِنَّا كَذَلِكَ نَجْزِي الْمُحْسِنِينَ (105) إِنَّ هَذَا لَهُوَ الْبَلَاء الْمُبِينُ (106) وَفَدَيْنَاهُ بِذِبْحٍ عَظِيمٍ (107)} صدق الله العظيم [الصافات].
Allah Ta3ala Asema:{ Tulimwita: Ewe Ibrahim (104) Umekwisha itimiliza ndoto. Hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wanao tenda mema (105) Hakika haya ni majaribio yaliyo dhaahiri (106) Basi tukamtolea fidia kwa dhabihu mtukufu (107)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alsafat].
Na Hivo hivo Allah alimfanyie majaribio Muhammad Mtume Wa Allah - Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Basi akawa anaona katika usingizi wake kwamba yeye amemoa mke wa zaid juu yake Swala na Salam, Akajua Al’ Nabi kwamba yeye pindi akimwacha Zaid basi imewajibika juu yake kutekeleza amri ya Mola Mlezi wake kwenye ndoto ya haki Pamoja yakua Al’Nabi ameificha kuona ndoto katika nafsi yake wala hakumweleza yoyote mpaka alipo kuja Zaid Ibnu Alharitha kwa Nabi akasema kwamba yeye atamwacha Zainab hapo ndio alitetemeka Al’Nabi juu yake swala na salam kwakua lau atamwacha Zaid basi hakuna pa kukimbia kwa kutekeleza amri ya Mola Mlezi Wake Ndio Aowe Muhammad Mtume Wa Allah Zainab Bint Jahsh, Akafkiria nini watasema watu:” Vipi atamoa mke wa Mtu ambae alimlea!”. Na ilikua watu wanamwita Zaid ibnu Muhammad, hata kama hakua ni mtoto wake lakini alimlea kutabani, Na jee wameisha wanawake mpaka hakupata ispokua yeye? Alafu watasema watu basi hapana budi alikua Al’Nabi Anampenda, Ndio kwajili ya hivo alimoa baada alipo mtaliki Zaid”.
Na hayo kauli yao mbovu juu ya A’Nabi kutoka kwa nafsi zao kwa dhana ambao haisaidi haki kitu dhulma na buhtani, Na anajua Al’Nabi kwamba watu bila shaka watasema hivo, Kwajili yahivo anatamani Muhammad Mtume Wa Allah - Swala Allahu Aleyhi Wa Salam- Kwamba Asimtaliki Zaid Zainab milele, Basi kila akija Zaid Anamwambia Al Nabi kwamba yeye anataka kumwacha Zainab basi alikua Al’Nabi anapinga kwa nguvu na anakata kwa nguvu kwamba Zaid amtaliki Zainab ; Bali anamwambia yeye Al’Nabi:” Mche Mungu Ewe Zaid, Mche Mungu ewe Zaid na usifanye”. Akasema Allah Ta3ala

: {وَإِذْ تَقُولُ لِلَّذِي أَنْعَمَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَأَنْعَمْتَ عَلَيْهِ أَمْسِكْ عَلَيْكَ زَوْجَكَ وَاتَّقِ اللَّهَ}
Allah Ta3ala Asema:{ Na ulipo mwambia yule Mwenyezi Mungu aliye mneemesha, nawe ukamneemesha: Shikamana na mkeo, na mche Mwenyezi Mungu}

Lakini sio tatizo lile alio losema Al’Nabi dhahir ya jambo; Bali tatizo ni kujitolea kusadikisha ndoto ya haki, kwajili ya hivo anasema Al’Nabi Mche Mungu na usimwache kwakua Al’Nabi anajua kwamba lau Zaid atamtaliki basi hapo hakuna pakukimbilia wala hakuna udhuru kwake kwa kutekeleza Amri Ya Allah katika kuona Ndoto kwake ambao alikua akificha katika Nafsi yake, Kwajili ya hivo Alimwambia Allah Nabi Wake:
: {وَإِذْ تَقُولُ لِلَّذِي أَنْعَمَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَأَنْعَمْتَ عَلَيْهِ أَمْسِكْ عَلَيْكَ زَوْجَكَ وَاتَّقِ اللَّهَ وَتُخْفِي فِي نَفْسِكَ مَا اللَّهُ مُبْدِيهِ وَتَخْشَى النَّاسَ وَاللَّهُ أَحَقُّ أَن تَخْشَاهُ فَلَمَّا قَضَى زَيْدٌ مِّنْهَا وَطَراً زَوَّجْنَاكَهَا لِكَيْ لَا يَكُونَ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ حَرَجٌ فِي أَزْوَاجِ أَدْعِيَائِهِمْ إِذَا قَضَوْا مِنْهُنَّ وَطَراً وَكَانَ أَمْرُ اللَّهِ مَفْعُولاً﴿37﴾} صدق الله العظيم [الأحزاب].
Alalh Ta3ala Asema:{ Na ulipo mwambia yule Mwenyezi Mungu aliye mneemesha, nawe ukamneemesha: Shikamana na mkeo, na mche Mwenyezi Mungu. Na ukaficha nafsini mwako aliyo taka Mwenyezi Mungu kuyafichua, nawe ukawachelea watu, hali Mwenyezi Mungu ndiye mwenye haki zaidi kumchelea. Basi Zaid alipo kwisha haja naye tulikuoza wewe, ili isiwe taabu kwa Waumini kuwaoa wake wa watoto wao wa kupanga watapo kuwa wamekwisha timiza nao shuruti za t'alaka. Na amri ya Mwenyezi Mungu ni yenye kutekelezwa(37)} Sadaqa Allah Al3adhim, [Alahzab]
.
Mpaka alipo mtaliki Zaid alienda Al’Nabi Kuposa kutekeleza Amri Ya Mola Mlezi Wake Katika Ndoto ya haki, Na Hakika Alijua kwamba Ndoto ndani yake ina majaribio kwake kutoka kwa Mola Mlezi wake kama alivo mjaribu Ibrahim Juu Yake Swala Na Salam Kwa kumchinja mwanae na akatekeleza Ibrahim Juu Yake Swala Na Salam Yale yalio kuja kwenye Kuona Ndoto Ya Majaribio Na Akatekeleza Muhammad Mtume Wa Allah Juu Yake Swala Na Salam Yale Yaio Kuja Katika Kuona Ndoto Ya Majaribio, Na bada alipo Mowa Zainab baada kutekeleza kuona ndoto ya majaribio alafu ikateremka kwa kuowana kwao ukumbusho katika Muhakam ilio wazi mana yake Al’Quran Al3adhim Kumlinda hishma ya Al’Nabi Mpaka Siku Ya Kiyama Na Akabainisha Hikma ya kumozesha Muhammad Mtume Wa Allah - Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Kwa Zainab Mtalaka wa Zaid Ibnu Alharitha,
Aksema Allah Ta3ala
:
{فَلَمَّا قَضَى زَيْدٌ مِّنْهَا وَطَراً زَوَّجْنَاكَهَا لِكَيْ لَا يَكُونَ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ حَرَجٌ فِي أَزْوَاجِ أَدْعِيَائِهِمْ إِذَا قَضَوْا مِنْهُنَّ وَطَراً وَكَانَ أَمْرُ اللَّهِ مَفْعُولاً﴿37﴾} صدق الله العظيم [الأحزاب].
Allah Ta3ala Asema:{ Basi Zaid alipo kwisha haja naye tulikuoza wewe, ili isiwe taabu kwa Waumini kuwaoa wake wa watoto wao wa kupanga watapo kuwa wamekwisha timiza nao shuruti za t'alaka. Na amri ya Mwenyezi Mungu ni yenye kutekelezwa(37)} Sadaqa Allah Al3adhim, [Alahzab]
.
Na Salam Juu ya Mitume, Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..
Na Ama Bayana Ya Haki Ya Kauli Ya Allah Ta3ala:
{لاَ تَمُدَّنَّ عَيْنَيْكَ إِلَى مَا مَتَّعْنَا بِهِ أَزْوَاجاً مِّنْهُمْ وَلاَ تَحْزَنْ عَلَيْهِمْ وَاخْفِضْ جَنَاحَكَ لِلْمُؤْمِنِينَ﴿88﴾} صدق الله العظيم [الحجر].
Allah Ta3ala Asema:{Usivitumbulie macho yako vitu tulivyo waneemesha makundi fulani kati yao, wala usiwahuzunikie. Na wainamishie bawa lako (la huruma) Waumini (88)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhijri]
,
Lakini ispokua anakusudia kwa kauli yake
:
{أَزْوَاجاً مِّنْهُمْ} Yani aina kati yao wala hakusudi kuangalia wake zao; Bali anakusudia kwamba asipende mali na watoto ambao amewapa aina katika makafiri.
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala
:
{فَلَا تُعْجِبْكَ أَمْوَالُهُمْ وَلَا أَوْلَادُهُمْ ۚ إِنَّمَا يُرِيدُ اللَّهُ لِيُعَذِّبَهُم بِهَا فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَتَزْهَقَ أَنفُسُهُمْ وَهُمْ كَافِرُونَ} صدق الله العظيم [التوبة:55]
Allah Ta3ala Asema:{ Yasikufurahishe mali yao wala wana wao. Hakika Mwenyezi Mungu anataka kuwaadhibu kwayo hapa duniani, na zitoke roho zao na hali wao ni makafiri} Sadaqa Allah Al3adhim [Altauba:55]
.
imeisha Bayana ya haki, Sisemi juu ya Allah ispokua Ni Haki,

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
_________________

======== اقتباس =========