المساعد الشخصي الرقمي

مشاهدة النسخة كاملة : Hu ni ukumbusho na mawaidha kwa wacha’Mungu katika wale ambao wameyakinisha kwa utawala wa ilimu ulio wazi basi haitowachukua utukufu kwa dhambi.Admin
01-03-2018, 11:47 AM
Hu ni ukumbusho na mawaidha kwa wacha’Mungu katika wale ambao wameyakinisha kwa utawala wa ilimu ulio wazi basi haitowachukua utukufu kwa dhambi.AL’IMAM NASSER MUHAMMAD AL’YAMANI

الإمام ناصر محمد اليماني
06 - جمادى الآخرة - 1439 هـ
22 - 02 - 2018 مـ
08:06 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
____________________


https://nasser-yamani.com/showthread.php?t=34131 (https://nasser-yamani.com/showthread.php?t=34131)Hu ni ukumbusho na mawaidha kwa wacha’Mungu katika wale ambao wameyakinisha kwa utawala wa ilimu ilio wazi basi haitowachukua utukufu kwa dhambi.
Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na sala na salam juu ya Muhammad Mtume wa Allah na wote ma Nabi na Mitume na wote waumini katika wa mwanzo na wa mwisho na walioko juu mpaka siku ya Dini, Ama ba’ada ya hapo..


Salamu Allah juu yenu wa Rahmatu Allah wa Barakatuhu Wapendwa wangu ma anssar walio tangulia walio bora katika zama za (Ali7hiwar) Mazungumzo Kabla Ya Kudhihiri,
Basi muwe pamoja na imamu wenu Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani kama mfano wa maswa7haba wa Muhammad Mtume wa Allah ki moyo kupindukia inje ndan kama alivo wasifu Allah Kwenye Muhakam Al’Quran Al3adhim Kwenye kauli ya Allah Ta3ala:{مُّحَمَّدٌ رَّسُولُ اللَّـهِ ۚ وَالَّذِينَ مَعَهُ أَشِدَّاءُ عَلَى الْكُفَّارِ رُحَمَاءُ بَيْنَهُمْ ۖتَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا يَبْتَغُونَ فَضْلًا مِّنَ اللَّـهِ وَرِضْوَانًا ۖ سِيمَاهُمْ فِي وُجُوهِهِم مِّنْ أَثَرِ السُّجُودِ ۚ ذَٰلِكَ مَثَلُهُمْ فِي التَّوْرَاةِ ۚ وَمَثَلُهُمْ فِي الْإِنجِيلِ كَزَرْعٍ أَخْرَجَ شَطْأَهُ فَآزَرَهُ فَاسْتَغْلَظَ فَاسْتَوَىٰ عَلَىٰ سُوقِهِ يُعْجِبُ الزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ الْكُفَّارَ ۗ وَعَدَ اللَّـهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ مِنْهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا ﴿٢٩﴾} صدق الله العظيم [الفتح].


Allah Ta3ala Asema: { Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa (29)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alfat7h].


Basi kuweni wenye kuhurumiana baina yenu madhalili baina yenu kwa badhi yenu wenye nguvu juu ya ma kafiri wale wanao wapiga vita kwenye dini yenu pekeyake na wanataka kuzima nuru ya Allah na wamechukia yale alio teremsha Allah na wakachukia Ridhwan yake; Hawo mashetani majini na binadamu wamemfanya shetani ibilisi ni rafiki wali pasi na Allah na wao wanajua kwamba yeye ni aduwi wa Allah na waumini wala sio kwa kupotea kwao, hwao ndio walio ghadhibiwa juu yao wamekata tama na Ra7hma ya Allah kama walivo kata tama makafiri na watu walio kaburini kwamba hakika atawafufua Allah.


Na nawawusia kwa waislamu kheri, Na nawausia kwa makafiri walio potea wale ambao hawapigani na nyinyi kwenye dini ya Allah kwamba muwafanyie wema na muwafanyie uwadilifu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:


{لَّا يَنْهَاكُمُ اللَّـهُ عَنِ الَّذِينَ لَمْ يُقَاتِلُوكُمْ فِي الدِّينِ وَلَمْ يُخْرِجُوكُم مِّن دِيَارِكُمْ أَن تَبَرُّوهُمْ وَتُقْسِطُوا إِلَيْهِمْ ۚ إِنَّ اللَّـهَ يُحِبُّ الْمُقْسِطِينَ ﴿٨﴾} صدق الله العظيم [الممتحنة].
Allah Ta3ala Asema: { Hawakatazi Allah kwa wale ambao hawa’jawapigeni katika dini wala hawa jawatoeni kwa manyumba zenu kwamba muwafanyie wema na muwafanyie uwadilifu hakika Allah anapenda wanao fanya uwadilifu (8)}
Sadaqa Allah Al3adhim [ Almumtahana].


Na hikma ya Allah kwa hayo: ikiwa mtadhihirisha uwaduwi na chuki na wao hawajawapigeni kawenye dini ya Allah ispokua kwamba wao hawajakinai na kuongoka bado; Na kadhalika nyinyi mulikua hivo, Bali amewagiza Allah kwamba musikate uhusiano wenu na wao na urafiki na upendo na hishima na muwafanyie tabia njema mpaka muongoze nyoyo zao kwa tabia zenu kuwaongoza kwa Nur ya Allah basi watajua kwamba dini ya Allah ambao ni alislam ni dini ya Rahma kwa ulimwengu wala sio dini ya umwagaji damu na ufisadi katika ardhi, Basi imeharamishwa juu ya binadamu kumdhulumu nduguyake binadamu, Wala hajawagiza Allah mulazimishe watu mpaka wawe waumini, ispokua lakini juu yenu ni kubalighisha na juu ya Allah hisabu.Na enyi wapendwa wangu kwa Allah, Na nitawapigia kwa hayo mfano, Basi lau kwamba Mwanamume alikua ana’waasi wazazi wake akatumiliza Allah Mtume na akamongoza Allah moyo wake kwa kufwata haki kutoka kwa Mola Mlezi wake na jee lau ataendelea kuwaasii wazazi wake na jee munamona ataweza kuwaongoza nyoyo ya wazazi wake? Kwajili ya hivo amemwagiza Allah mtoto alio’ongoka kwa njia ya haki kwamba awafanyie wema wazazi wake na kwamba awe nawo kuwatendea katika dunia wema, Na hata kama watamjadili kwa kauli kwamba amshirikishe Allah arudi kuabudu miungu yao pasi na Allah kwa kudhani kwao na babazao wako kwenye haki, Basi hivo hivo amemwagiza Allah mtoto kwamba awe na wao katika dunia kwa wema na awatii kwa kila kitu ispokua kumsirikisha Allah, Na hikma ya Allah kwa hayo kwakua wazazi wawili waliopotea pindi wakimona mtoto wao amekua mwema kwao dhalili juu yao na awatetendea na tabia njema na anawafanyia wema na anawatii ispokua kumshirikisha Allah ambao hajateremsha utawala nayo alafu anavuta akili za wazazi wake kwamba watatafakari alafu watasema: “Hakika ya hi dini ilio mbadilisha mtoto wetu kutoka alipo kua asi kwa wazazi wake mgumu wa moyo akawa mrahimu kwao akawa nawao katika dunia kwa wema”; Basi watasema: “ Hakika hi dini ni dini ya Rahma na uwadilifu kutoka kwa Allah ambae amemwamuru mtoto wetu atutende wema na atufanyie ihsani na awe nasi katika dunia kwa wema hakika hi ni dini ya Rahma kwa ulimwengu”. Alafu wanaongoka, Na kwa hayo inatimu hikma kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{وَوَصَّيْنَا الْإِنسَانَ بِوَالِدَيْهِ حَمَلَتْهُ أُمُّهُ وَهْنًا عَلَىٰ وَهْنٍ وَفِصَالُهُ فِي عَامَيْنِ أَنِ اشْكُرْ لِي وَلِوَالِدَيْكَ إِلَيَّ الْمَصِيرُ ﴿١٤﴾ وَإِن جَاهَدَاكَ عَلَىٰ أَن تُشْرِكَ بِي مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ فَلَا تُطِعْهُمَا ۖوَصَاحِبْهُمَا فِي الدُّنْيَا مَعْرُوفًا ۖ وَاتَّبِعْ سَبِيلَ مَنْ أَنَابَ إِلَيَّ ۚ ثُمَّ إِلَيَّ مَرْجِعُكُمْ فَأُنَبِّئُكُم بِمَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ ﴿١٥﴾} صدق الله العظيم [لقمان].


Allah Ta3ala Asema:{ Na tumemuusia mtu kwa wazazi wake wawili. Mama yake ameichukua mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu, na kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili. (Tumemuusia): Nishukuru Mimi na wazazi wako. Ni kwangu Mimi ndiyo marudio (14) Na pindi wakikushikilia kunishirikisha na ambayo huna ilimu nayo, basi usiwat'ii. Lakini kaa nao kwa wema duniani, nawe ishike njia ya anaye elekea kwangu. Kisha marejeo yenu ni kwangu Mimi, na Mimi nitakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda (15)}


Sadaqa Allah Al3adhim [Luqman].


Na jee mwaona kwamba lau mtoto imemzidisha uwislamu wake kwa Mola Mlezi wake uwasi na kutamarud kwa wazazi wake na uzito kwa tabia basi jee munamona ataenda kuwaongoza nyoyo zao? Bali kinyume ataenda kuwakimbiza kufwata haki na hatowaongoza wazazi wake kabisa, Na hivo hivo ame’wamuru Allah walinganizi kwa njia ya Allah ya haki kwamba wambie watu wema, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:{ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُم بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَن ضَلَّ عَن سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ﴿١٢٥﴾} صدق الله العظيم [النحل].
Allah Ta3ala Asema:
{ Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka (125)}


Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl].
Fawlah Thuma Wallah hapati daraja za juu katika waja wa Allah walio karibu ispokua wale ambao wamesubiri juu ya udhia ya watu kwa maneno pindi wakishutumiwa na wa kitukanwa alafu wanasema: “ Awa’afu Allah “, Basi ndio wanazuwia hasira zao ndio wanasamehe watu kwajili ya Allah, Basi hapo huwenda akageuka mtukanaji anae shutumu kuwa rafiki mwema kwa mlinganizi pindi haikumchukua utukufu kwa dhambi. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَمَنْ أَحْسَنُ قَوْلًا مِّمَّن دَعَا إِلَى اللَّـهِ وَعَمِلَ صَالِحًا وَقَالَ إِنَّنِي مِنَ الْمُسْلِمِينَ ﴿٣٣﴾ وَلَا تَسْتَوِي الْحَسَنَةُ وَلَا السَّيِّئَةُ ۚادْفَعْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ فَإِذَا الَّذِي بَيْنَكَ وَبَيْنَهُ عَدَاوَةٌ كَأَنَّهُ وَلِيٌّ حَمِيمٌ ﴿٣٤﴾ وَمَا يُلَقَّاهَا إِلَّا الَّذِينَ صَبَرُوا وَمَا يُلَقَّاهَا إِلَّا ذُو حَظٍّ عَظِيمٍ ﴿٣٥﴾} صدق الله العظيم [فصلت].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na ni nani mbora wa kusema kuliko aitaye kwa Mwenyezi Mungu na akatenda mema, na akasema: Hakika mimi ni katika Waislamu (33) Mema na maovu hayalingani. Pinga uovu kwa lilio jema zaidi. Hapo yule ambaye baina yako naye pana uadui atakuwa kama rafiki jamaa wa kukuonea uchungu (34) Lakini hawapewi wema huu ila wanao subiri, wala hawapewi ila wenye bahati kubwa (35)}


Sadaqa Allah Al3adhim [Fusilat].
Lakini kusubiri inakua kwenye mipaka ya kujuruhiwa kwa maneno, ama wakati ikitimu kutangaza vita va kuwana juu ya mlinganizi na wafwasi wake basi hapo ameamuru Allah waumini kutetea nafsi zao. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَقَاتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّـهِ الَّذِينَ يُقَاتِلُونَكُمْ وَلَا تَعْتَدُوا ۚ إِنَّ اللَّـهَ لَا يُحِبُّ الْمُعْتَدِينَ ﴿١٩٠﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema:


{ Na piganeni kwa njia ya Allah wale ambao wanawapiga wala musifanye uwaduwi hakika Allah hapendi waanzao uwaduwi (190)}


Sadaqa Allah Al3adhim [ Albaqara].


Basi yule atakae kufwata mwenendo wa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wlio wazuri na wote waumni basi afwate agizo la Allah kwenye Muhakam ilio wazi maana yake kitabu chake:
{قُلْ هَـٰذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّـهِ ۚ عَلَىٰ بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي ۖ وَسُبْحَانَ اللَّـهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿١٠٨﴾} صدق الله العظيم [يوسف


Allah Ta3ala Asema:


{ Sema hi ndio njia yangu nalingania kwa Allah kwa kujuwa mimi na alio nifwata na Ametukuka Allah wala mimi sio katika washirikina (108)}


Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf].


Basi Sisi kaumu ambao wapendwa na Allah na wanampenda tunalingania kwa njia ya Allah kwa ujuzi kutoka kwa Allah; Kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim na sunna ya bayana ya kweli ambao haikhalifu muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran basi hizo hazitafautiani zikakhitilifiana kwenye kauli kabisa, Na yatakao khalifu muhakam ilio wazi manayake kitabu Allah katika ma hadithi na ma riwaya basi mujuwe kwa hizo ni batil zimezushwa juu ya Allah na Mtume wake, Na fwateni kitabu cha Allah na Sunna za Mtume wake za kweli ila zile zilio’khalifu katiyake muhakam iliowazi mana yake Al’Quran basi mujuwe kwamba hadithi hio imezushwa kutoka kwa Shetani kwa ulimi wa ma wali wake katika wale walio kua wanadhihirisha imani na wanaficha ukafiri wamefanya imani yao ni kinga wanaendelea nayo ili wazuwie njia ya kufwata Al’Quran kwa ma hadithi zinakhalifu muhakam ilio wazi kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim na kadhalika zinakhalifu ma hadithi za kweli katika sunna ya bayana alnabawia, Basi mutakao pata katiyao zimekuja zimekhalifu muhakam ilio wazi mana yake Al’Quran basi iwacheni na shikilieni na kamba ya Allah Al’Quran Al3adhim na kufuruni kwa yale yanao khalifu kwa kauli ya Allah na Mtume wake bora kwenu kabla haijawapata adhabu karibuni enyi ma3ashara ya waislamu na binadamu wote.


Na enyi wapendwa wangu “Alanssar Alsabiqina Alakhyar” “ma anssar walio tangulia walio bora” kwenye zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri musiwe kama mfano wa ma sunni na ma shia wale ambao wamemfwata shetani katika uwaduwi na chuki baina yao mpaka wamefika ku’uwana wao kwa wao na kumwaga damu zao wao kwa wao na jee munaona wataongoza watu kwa wanayo yafanya? Bali huwenda wakawa wao ndio sababu ya kurtadi wengi katika ulimwengu kutokana na uwislamu, Basi mcheni Allah na sikizeni na mutii na Alhamdulillah kwamba nyinyi muko mbali umbali mno kwamba mu’uwane nyinyi kwa nyinyi, ispokua naona kidogo sana katiyenu tena kidogo katiyenu ameanza kujuruhu na kubaghidhiana baina yao kwa sababu yakua na haraka kwao ya kutafsiri maneno ya Allah kabla hajabainisha kwao Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani! Na kheri na kila kitu kwa wakati wake, Basi yale tulio wafundisha kwa haki imepewa nguvu kwa utawala ulio wazi kutoka kwa Al’Quran Al3adhim inakubali akilizenu na zinalainika nayo nyoyo zenu basi fikisheni balighisheni, Na yale tulio nyamazia mpaka wakati basi subirini mpaka niwabainishie kwenu.Eeee kwamba hakika Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani anawalingania waislamu kwamba wakanushe uwingi wa ma viyama na madhehebu kwenye dini ya Allah na kwamba wawe waja wa Allah ma ndugu wanapendana kwenye upendo wa Allah basi watashinda ushindi mkuu, Basi bado nazali nawalingania waislamu ili waingie kwenye usalama baina yao wote ili kusmamishe kumwaga damu yao na kuongoza nyoyo zao na kukusanya safu yao, Lakini mara wao ndio mwanzo basi wanazali wanakanusha kuhusu ulinganizi wa haki kutoka kwa Mola wao na wanafwata hatua za shetani kwa ulimi wa ma wali wake kwa kuzidisha vita va kimadhehebu na uzalendo baina ya waislamu.


Na mshuhudisha Allah na tosha Allah kua shahidi kwamba mimi nawalingania wote viongozi wanao’pigana kwenye ma taifa ya kislamu kwa kuhukumu kwenye kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim kwa yale waliokua wanakhitilifiana ndani yake, Na kwamba waingie kwa uwislamu kikamilifu kutekeleza Agizo la Aallah kwao katika zama za kutumilizwa Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani ambae amemtumiliza Allah katika ukubwa wa ikhtilafu zao na kumwaga damu yao ili azuwie umwagaji wa damu yao Rahma kwao na kwa ulimwengu, Na niwabainishie watu wote Dini ya Allah ambao ni islam ya haki mpaka wajuwe kua ni dini ya Allah ni kweli hakika imeteremka Rahma ya Ulimwengu wala sio kumwaga damu zao; Bali kwajili iondoshe dhulma ya binadamu kwa nduguyake binadamu, Na nieneze kwenye Ardhi uwadilifu kama kulivo jawa na maonevu na udhalimu kwenye ma taifa za kislamu haswa wale walio fwata hatuwa za shetani ziliofichika kwa mbinu ya kimataifa kwa uwongozi wa Donald Tramp katika wakubwa wa magaidi, Fa Wallah Thuma Wallah hakika yeye hataki kwa uwislamu na waislamu izaa; Bali awatakia udhalilifu na kuwauwa wote, ispokua bado anazali kudhufisha waislamu kwa kuwafitini bainayao ili wauwane wao kwa wao ili awadhifishe alafu kutokezea harakati ya arabii ya kiabrania ya kiyahudi ya ki ulimwengu ili wateke zote mataifa za waislamu na kupora mali zao na kheri za mataifa yao, Na bado anazali anapnga njama ili amwingize Turkia na iran vita baina yao na vita va warabu, Na wengi wa viongozi wawaislamu na wanazuoni waoa tayari wamejua hayo kwamba Tramp aduwi wa islam na waislamu wala hawatki kheri; Bali anawatakia shari, Lakini Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani anawatakia wote waislamu na wote watu kheri na anataka waokoke na ushindi mkubwa katika dunia na akhera, Na kiasi gani tafauti ni kubwa mno baina ya Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Na Mwenye Shari zaidi katika mashetani binadamu Donald Tramp, kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:


{أَوَمَن كَانَ مَيْتًا فَأَحْيَيْنَاهُ وَجَعَلْنَا لَهُ نُورًا يَمْشِي بِهِ فِي النَّاسِ كَمَن مَّثَلُهُ فِي الظُّلُمَاتِ لَيْسَ بِخَارِجٍ مِّنْهَا ۚ كَذَٰلِكَ زُيِّنَ لِلْكَافِرِينَ مَا كَانُوا يَعْمَلُونَ ﴿١٢٢﴾} صدق الله العظيم [الأنعام].
Allah Ta3ala Asema:


{ Je, aliye kuwa maiti kisha tukamhuisha, na tukamjaalia nuru inakwenda naye mbele za watu, mfano wake ni kama aliyoko gizani akawa hata hawezi kutoka humo? Kama hivyo makafiri wamepambiwa waliyo kuwa wakiyafanya (122)}


Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam].


Basi mcheni Allah na musikize na mutii na muingie katika uwislamu kikamilifu kutekeleza amri ya Allah kwenye muhakam ilio wazi mana yake kitabu chake kwenye kauli ya Allah Ta3ala:


{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ﴿٢٠٨﴾فَإِن زَلَلْتُم مِّن بَعْدِ مَا جَاءَتْكُمُ الْبَيِّنَاتُ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ﴿٢٠٩﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema:
{ Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi (208) Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima (209)}


Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].
Na jee munadhani kwamba Allah anawahutubia kaumu waumini kwenye ahdi ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa alihi wa salam? Lakini hakika sisi tunapata sifa zao katika muhakam Al’Quran Al3adhim kwenye kauli yake Allah Ta3ala:


{مُّحَمَّدٌ رَّسُولُ اللَّـهِ ۚ وَالَّذِينَ مَعَهُ أَشِدَّاءُ عَلَى الْكُفَّارِ رُحَمَاءُ بَيْنَهُمْ ۖتَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا يَبْتَغُونَ فَضْلًا مِّنَ اللَّـهِ وَرِضْوَانًا ۖ سِيمَاهُمْ فِي وُجُوهِهِم مِّنْ أَثَرِ السُّجُودِ ۚ ذَٰلِكَ مَثَلُهُمْ فِي التَّوْرَاةِ ۚ وَمَثَلُهُمْ فِي الْإِنجِيلِ كَزَرْعٍ أَخْرَجَ شَطْأَهُ فَآزَرَهُ فَاسْتَغْلَظَ فَاسْتَوَىٰ عَلَىٰ سُوقِهِ يُعْجِبُ الزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ الْكُفَّارَ ۗ وَعَدَ اللَّـهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ مِنْهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا ﴿٢٩﴾} صدق الله العظيم [الفتح].
Allah Ta3ala Asema:


{ Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa (29)}


Sadaqa Allah Al3adhim [Alfat7h].


Bali anawahutubia nyinyi ma3ashara ya waislamu ma viyama dhidi baadhi yao juu ya baadhi, na eee kiasi gani uwingi wa mahizbu zenu zinaouwana! Basi ingieni kwenye uwislamu kikamilifu na smamisheni vita na umwagaji damu badhi yenu juu ya badhi na kudhulumiana badhi yenu juu ya badhi, Na mukikata basi juweni kwamba Allah ni mwenye Nguvu mwenye hikma ataenda kumdhihirisha khalifa wake na mja wake juu yenu na juu ya ma kafiri kwenye siku na nyinyi na wao wanyonge na atangamiza Allah amtakae na atamadhibu amtakae na ataokoa amtakae katika wacha Mungu, Wala Hadhulumu Mola Wako Mlezi yoyote.

Fawallah thuma wallah hakika adhabu ya Allah yazidi zaidi na kua kubwa juu ya wakanushaji kuhusu mwito wa kuhukumu kwa kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim na wanaoikufuru kama inavozidi kufikiliwa jua kwa mwezi na nyinyi mwajua, Wala hakupatikana kwenu kukumbuka! Na namshuhudisha Allah na Tosha Allah kua Shahidi Kwamba jua hakika hivo hivo limepata mwezi katika kupata pakubwa kwenye mwanzo wa mwezi wenu hu jamadi Alakher ya mwaka wenu hu 1439 na nwaogopea juu yenu kutokana na Adhabu ilio karibu na nyinyi munakanusha, Na jee munataka mangamivu ama munataka kuokoka kutokana na Adhabu ya Allah na kufuzu kukubwa? Basi mcheni Allah Na Sikizeni na mutii na mupeane salamu baina yenu ili kusmame umwagaji wa damu ili ipate nguvu mgongo wenu na awape nguvu Allah, Na mujuwe kwamba iza ni ya Allah yote basi musitake kwa ma’aduwe wake basi atawadhalilisha Allah awapokonye kwenu mulki yenu enyi ma3ashara ya viongozi wa waislamu, Basi mcheni Allah na atakae kumcha Allah kati yenu na akatangaza beyaa yake kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani basi Wallahi thuma wallahi hakika atamzidisha Allah nguvu ju ya nguvu yake, Lakini kumbukeni Add kaumu ya Hud wale walio kua na nguvu zaidi kwenye ardhi akawambia wao ndugu yao Hud: Amesema Allah Ta3ala:
: {وَيَا قَوْمِ اسْتَغْفِرُوا رَبَّكُمْ ثُمَّ تُوبُوا إِلَيْهِ يُرْسِلِ السَّمَاءَ عَلَيْكُم مِّدْرَارًا وَيَزِدْكُمْ قُوَّةً إِلَىٰ قُوَّتِكُمْ وَلَا تَتَوَلَّوْا مُجْرِمِينَ ﴿٥٢﴾} صدق الله العظيم [هود].

Allah Ta3ala Asema:


{ Na enyi watu wangu! Muombeni msamaha Mola wenu Mlezi, kisha mtubie kwake. Atakuleteeni mbingu zenye kunyesha mvua ya kumiminika, na atakuzidishieni nguvu juu ya nguvu zenu. Wala msigeuke mkawa wakosefu (52)}


Sadaqa Allah Al3adhim [Hud].


Waka’kadhibisha Wenye kiburi, Akawa’ngamiza Yule Mwenye Nguvu kuliko Wao Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu. Akasema Allah Ta3ala:


{وَاللَّـهُ يَقْضِي بِالْحَقِّ ۖوَالَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِهِ لَا يَقْضُونَ بِشَيْءٍ ۗ إِنَّ اللَّـهَ هُوَ السَّمِيعُ الْبَصِيرُ ﴿٢٠﴾ أَوَلَمْ يَسِيرُوا فِي الْأَرْضِ فَيَنظُرُوا كَيْفَ كَانَ عَاقِبَةُ الَّذِينَ كَانُوا مِن قَبْلِهِمْ ۚ كَانُوا هُمْ أَشَدَّ مِنْهُمْ قُوَّةً وَآثَارًا فِي الْأَرْضِ فَأَخَذَهُمُ اللَّـهُ بِذُنُوبِهِمْ وَمَا كَانَ لَهُم مِّنَ اللَّـهِ مِن وَاقٍ ﴿٢١﴾ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ كَانَت تَّأْتِيهِمْ رُسُلُهُم بِالْبَيِّنَاتِ فَكَفَرُوا فَأَخَذَهُمُ اللَّـهُ ۚ إِنَّهُ قَوِيٌّ شَدِيدُ الْعِقَابِ ﴿٢٢﴾}

صدق الله العظيم [غافر].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na Mwenyezi Mungu huhukumu kwa haki; lakini hao wanao waomba badala yake hawahukumu chochote. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia Mwenye kuona (20) Kwani hawatembei katika ardhi wakaona jinsi ulivyo kuwa mwisho wa walio kuwa kabla yao? Hao walikuwa wamewazidi hawa kwa nguvu na athari katika nchi. Na Mwenyezi Mungu aliwatia mkononi kwa sababu ya madhambi yao. Na wala hapakuwa wa kuwalinda na Mwenyezi Mungu (21) Hayo ni kwa sababu walikuwa wanawajia Mitume wao kwa hoja zilizo wazi, lakini wakawakataa, ndipo Mwenyezi Mungu akawakamata. Bila ya shaka Yeye ni Mwenye nguvu, Mkali wa kuadhibu (22)}


Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir].
Na enye ma3ashara ya viongozi wa waislamu na mataifa yao, Na jee mwaona Al’imam Nasser Muhammad Al’Yamani amekufuru na amepotea kwa sababu yeye anawaita kwa kuhukumu kwa Allah kwa kuwahukumu baina yenu kwa yale alio teremsha Allah kwenye Muhakam ilio wazi mana yake ukumbusho Al’Quran Al3adhim? Lakini mutaenda kujuwa na makafiri kwa ukumbusho nani alio kufuru alio potea jee ni nyinyi ama Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Ambae anawalingania kuifwata kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim na kukufuru kwa yale yanao khalifu kwenye muhakam ilo wazi mana yake kwenye vitabu vote ikiwa muna’amini kwamba ni kitabu kitukufu kutoka kwa mwenyewe mwenye hikma mjuzi? Na jee imani yenu inawamuru kwamba mukanushe kuhusu ulinganizi wa kuhukumu kwa kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim ili kukanusha ma viyama na ugaidi? Na niwaongoze kwa mantik ya haki kwa kauli ya sawa la sivo; Basi hakuna pa kukimbia kutokana na kijisayari cha adhabu ilio karibu ambayo ni mtingisho katika ardhi ya binadamu ndio iwajieni adhabu kutoka juu kwenu na kutoka chini ya migu yenu, Na hivo hivo hakuna pa kukimbia kutokana na sayari ya saqar ambao ni kubwa ambao inawazungukia watu kutoka wakati mpaka mwengine, Basi bado inaendelea milipuko mikubwa kuliko ilio kabla yake inawapata walio kufuru Al’Quran Al3adhim Na hivo hivo inawapata madhalimu miongoni mwenu walio na kiburi enyi ma3ashara ya waislamu, Basi kimbilieni kumlekea Allah Al’Wa7hid Al’Qahar kwa Kutubia na kuleta istighfar ili asiwadhibu Allah pamoja na makafiri, Hakika ma Aya ishara za Adhabu kuu imekurubia ajali yake sana, Na laana ya Allah kwa wakanushaji kwa ulinganizi wa Al’Mahdi Al’Muntadhar Wa kweli Nasser Muhammad Al’Yamani ama laana ya Allah Juu ya Nasser Muhammad Al’Yamani ikiwa hakua ni Al’Mahdi Al’Muntadhar Khalifa wa Allah juu ulimwengu, Na mutaenda kujua nani atamnusuru Allah kwa uwezo wake na nguvu zake na ampe ufalme wa ulimwemgu, Na nawakumbusha kwa kauli ya Allah Ta3ala:


{مَن كَانَ يُرِيدُ الْعِزَّةَ فَلِلَّـهِ الْعِزَّةُ جَمِيعًا} صدق الله العظيم [فاطر:10].


Allah Ta3ala Asema:


{ Mwenye kutaka utukufu basi utukufu wote uko kwa Mwenyezi Mungu }


Sadaqa Allah Al3adhim [Fater : 10].


Ama mwataka kufika kwenye utawala kwajina la dini! Na jee ju ya Allah munathubutu na yeye Anajua munacho ficha na munacho tangaza? eee hakika ya kijisayari cha mtingisho kimekurubia na zilzala haina uwezo makasri yenu nayo na magorofa zenu kiyasi yalivo na kinga itawapata mauti popote mulipo jificha, Basi hakuna kuokoka wala pakulikea kutokana na adhabu ya Allah Al’Wah7id Al’Qahar ispokua kukimbilia kwa Allah Al’Wa7hid Al’Qahar kwa Kutubia Na Kustaghfiru na kufwata ukumbusho wake enyi munao jiamini na mbinu yake.


Allahuma Nimebalighisha Allahuma Shudia ..


Na enyi ma3ashara ya Ma Al’Ansar Al’Sabiqina Al’Akhyar katika zama za Mazungumzo kabla ya Kudhihiri, Basi ikiwa kweli ni (akhyar) (Waliobora) Basi musimshughulishe Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Kwa Matatizo yenu nyinyi na kua na haraka kwenye ba’adhi ya mambo.


Na marhaba mpendwa wetu kwa Allah Al’Husein ibnu Omar, Na amerudi mpenzi wa mwanzo amerudi, Na usisubutu alfu usisubutu kwamba uwablok ma Ansar mara ingine basi usikhalifu amri ewe Husein ibnu Omar ansari wa kwanza kupitia internet ya ulimwengu, Basi hatuna siri nyuma ya pazia, Basi mche Allah Al’Wa7hid Al’Qahar, Lakini kiasi gani umekesha usiku na ma siku ewe Husein ibnu Omar ili kumnusuru Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Basi usiwe mwenye kuonesha umetufanyua kheri juu yetu ewe Burudisho la jicho; Bali Allah ndio amekubariki pindi akakufanya wankwanza katika ma Ansar walio ongoka kwenye mtandao wa entarenet ya ulimwengu; Bali Allah ndio alio kufadhili kukufanya wakwanza mwenye kutengeza Tuvoti Ya Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani, Basi kua miongoni wa wenye kushukuru ewe burudisho la jicho, Na ujuwe kwamba wewe uko umekita kwenye njia ilio nyoka mpaka umpate Mola Mlezi wako kwa moyo ulio salimika, Na akuafu Allah wewe ewe Mpendwa Wangu kwa Allah, Na awa’afu Allah wale walio ku’udhi katika ma Anssar wakakujeruhi,Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al’hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Khalifa Wa Allah Na Mja Wake; Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani.


وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ خليفة الله وعبده؛ الإمام ناصر محمد اليماني.
______________