المساعد الشخصي الرقمي

مشاهدة النسخة كاملة : Habari hivi punde kwa wote Ma Alanssar Alsabiqina Alakhyar kwenye Zama Za Mazungumzo Kabla Ya Kudhihirika kwa kutawala Na Ukombozi Ulio Wazi ..Admin
06-03-2018, 04:15 PM
Habari hivi punde kwa wote Ma Alanssar Alsabiqina Alakhyar kwenye Zama Za Mazungumzo Kabla Ya Kudhihirika kwa kutawala Na Ukombozi Ulio Wazi ..

خبرٌ عاجلٌ الى كافّة الأنصار السابقين الأخيار في عصر الحوار من قبل الظهور بالتمكين والفتح المبين..

Bismillah Alrahman Alrahim,Wasalat Wasalam Ala Muhammad Mtume Wa Allah Sala Na Salam Kwake Na Alihi Na Waumini Wote Mpaka Siku Ya Din,Amaa Ba'ad..
Asalam Alekom Warahmatu Allah Wabarakatuhu Wapenzi Wangu Kwa Allah Alanssar Alsabiqin Alakhyar, Na Na'apa Kwa Allah Al'Wa7hid Al'Qhar kuwa Hakuna Wakati Wa Kuzungumza ispokuwa Kidogo Na Hakuna Kwa Mkono mbinu Tuiepushe Kwa Watu Adhabu Ju Ya Wakanushaji kwa Ukumbusho, Na Nawashuhudia Kwenu Na Tosha Kwa Allah Kuwa Shahidi Kuwa Kwamba Wakati Umikuwa Mdogo Sana Sana Sana Umikuwa Karibu Kuliko vile Munavo Fikiria Alafu Nawashuhudisha Kwa Allah Ju Yenu Kuwa Musipoteze Wakati Wenu Kwa Kujadiliana Kwenye Mitandao Na Kupoteza Wakati Wenu Kwa Mijadala Yenu Ya Kipuzi na Mupoteze Wakati Wa Kueneza Na Kubalighisha,
Kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:{ وَإِذْ قَالَتْ أُمَّةٌ مِّنْهُمْ لِمَ تَعِظُونَ قَوْمًا اللَّهُ مُهْلِكُهُمْ أَوْ مُعَذِّبُهُمْ عَذَابًا شَدِيدًا قَالُوا مَعْذِرَةً إِلَىٰ رَبِّكُمْ وَلَعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ }[الأعراف: ١٦٤].
Allah Ta3ala Asema:
{Na Pindi Wakisema Umma Kati Yao kwanini Munawaidhia Kaumu Allah Atawangamiza Ama Atawadhibu Adhabu Kali sana Wakasema Ili tupate Udhru Kwa Mola Wenu Na Huwenda Wakaogopa}
[Ali3raf:164]


Na Enye Wapenzi Kwa Allah Yule Ambae Hakuna Mola Ispokuwa Yeye Hakika Adhabu Imekuwa Karibu Sana Na Nyinyi na Wao Hamujuwi, Lakini Musiogope Atateremsha Allah Kwa Moyo zenu utulivu Na Atafanya Moyo Ya Wale Walio Na Yaqini Kati Yenu Utulivu Wakati Wa Tokeo Hilo Itakapo Kutingishwa Nyoyo Za Walimwengu Mtigisho Mkubwa Sana Na Itafika Nyoyo Kwa Utisho Wake Kwenye Koo kwasababu Ya Wakanushaji Wa Ukumbusho Zaidi Ya Miyaka Alfu Na Miaine Kutoka Kabla Hajatuma Allah Mkubushaji (Almahdi Nasser Muhammad Al'Yamani), Na Musidhani Mwenye Ilimu Ya Kitabu Hajuwi Siku Ya Kudhihirika Kwake! Kwakuwa Kuficha Kwake Kuna Hikma kubwa kuifanya ni siri yake Kwajili kuna Katika Watu Mangombe Hawatafakari! Kwakuwa Lau Tungefanya Tukweka siku Malum Karibu Sana Wangesema:" Tutasubiri Na Tutaka Chonjo Na Hatutatafakari Wala Kupeleleza Kwa Bayana Ya Haki kwa Ukumbusho Mpaka Tuangalie Atatuadhibu Allah Ama Ni Katika Warongo?, Alafu Nasema Pindi Ikija Ndio Mutamini?


Na Enye Wapenzi Wangu Kwajili Ya Allah, Na Wallahi Alafu Wallahi Hio Ni duaa Ya Makafiri pindi Walipo Sema:


{ اللَّهُمَّ إِن كَانَ هَٰذَا هُوَ الْحَقَّ مِنْ عِندِكَ فَأَمْطِرْ عَلَيْنَا حِجَارَةً مِّنَ السَّمَاءِ أَوِ ائْتِنَا بِعَذَابٍ أَلِيمٍ}

[الأنفال: ٣٢]،
Allah Ta3ala Asema:
{Ewe Allah ikiwa hi Ndio Haki kutoka Kwako Basi Tunyeshe Kwetu Mawe Kutoka Mbinguni Ama Tulete Adhabu Inaoumiza}
[Alanfal:32],
Na Kwanini Imefanana Moyo Zenu Na Moyo Ya Wale Walio Kufuru Kabla Yenu Enye Ma3ashara Ya Wakanushaji Kwa MlinganiZi Wa Allah? Si ni Afadhali Haki Kwenu Kusema:" Allah Ikiwa Hi Ni Haki Basi Tuoneshe Haki ni Haki Na turuzuku Kuifwata Kabla Tuwe madhalili Na tupate kheze"?


Na Enye Ma3ashara Ya Watu, Natowa Qasam kwa Allah Al3adhim Mola Wa Mbingu Na Ardhi Na Kilimo Baina Yao Na Mola Wa 3arsh Al3adhim Hakika Adhabu Ya Allah Itanguka Karibu, Na Nilitamani Mno Awe Ayiepushe Kwa Waislamu Lakini Itawapata ile itakaowapata Ila Kidogo Na Hakuna Kwenye Mikono Mbinu Na Imiwastahiki Kwa Madhalimu Kati Yao Maneno Ya Mola Wako Pindi Wanapo Itwa Kuhukumiwa Kwa Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Haki Ila Wao Wote Wamikanusha Na Wanashindana Kwenye dini Lengo Lao Ni Utawala Na Kuhukumu Hio Ndio Mwisho Wao Wa Ilimu, Basi Ni Maovu Mno Wanacho Kitamani Lau Kama Wanajuwa! Na Wallahi Thuma Wallahi Hakika Ya utawala Na Kuhukmu Ni Hamu Na Ghamu Ju Ya Waumini Wale Wachaji Mungu Wala Sio Furaha Na Kuwa Na Raha Mpaka Waleke Kwa Mola Wao, Na Pindi Wakaona Juu Ya Nafsi Zao Wamihukumu Kwa Uwadilifu Wakalisha Maskini Na Wakainuwa Dhulma Ya Binadamu Juu Ya Ndugu Yake Binadamu Na Wakahukumu Kwa Yale Alio Teremsha Allah kwa Mipaka Yake Ya Haki ili Wazuwie Kudhulumu Alinssan Kwa Ndugu Yake Alinssan Basi Ndio Wamishinda Ushindi Mkuu, Ama Hawakuwa Ila Lengo Lao kufika Kwenye Utawala Wanashindania Kwa Jina La Dini Na Towa Qasam Kwa Allah Hawatwaongeza Watu Ila Dhulma Ju Ya Dhulma Yao.

Na Enye Kaumu! Kwenu Nimiwanasihi kwenu Lakini Hamupendi Mwenye Kuwapa Nasaha, Basi Wapi Pa Kukimbilia kutoka Kwa Allah Al'Wa7hid Al'Qahar Enye Ma3ashara Ya Wakanushaji Kwenye Ukumbusho, Basi Hakika Limefikia Juwa Mwezi Ikazaliwa Hilal Kabla Ya Kusuf Ndio Ikakutana Nalo Juwa Na Tayari Ni Hilal Ku'onya Watu Kabla Haija'tangulia Usiku Mchana Na Adhabu Karibu, Basi Mcheni Allah Enye Ma3ashara Ya Waislamu, Na Wallah Thuma Wallah Thuma Wallah Na Tallahi Na Towa Qasam Kwa Allah Yule Ambae Hapana Mola Pasi Na Yeye Wala Habudiwi Ila Yeye Kuwa Hakika Adhabu Iko Karibu Mno Kuliko Munavo Fikiria Na Lau Angenipa Idhni Mola Wangu Nigewapatia Kwenu Kwa Mwezi Na Siku Na Saa Na Kwa Dakika Na Kwa Nukta Kwa Wakati Wa Kituwo Cha Dunia Na Ulimwengu Saa Ya Msikiti Wa Alharam Ile Ambao Bibaka (Makka Almukarama), Na Namshuhudisha Allah Na Namshudisha Allah Na Namshuhudisha Allah Na Namshuhudisha Allah Kuwa Adhabu Imekuwa Karibu Na Nyinyi Hata Hamumjali Alimam Almahdi Almuntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Wala Hata Hamumweki Kumpima kwa Mizani, Na Atateremsha Allah Kwenu Kutoka Mbinguni Aya Alama Kwa Utisho Wake mutabaki Shingo Zenu Zanyenyekea kwa Khalifa Wa Allah Kwenye Ardhi Awahukumu Kwa Yale Anao Teremsha Allah Na Musalimu Kusalimu,


Basi Fikisheni Bayana Yangu Hi Enye Ma3ashara Alanssar Na Bayana Tafauti Katika Ma Bayana Za Mwaliko Wa Kuitikia Milganizi Wa hukmu Ya Allah Kupata Udhru Kutoka Mola Wenu Na Huwenda Wakaogopa, Na Salam Kwa Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin ..
Ndugu Yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ..


Read more: https://nasser-yamani.com/showthread.php?t=27544 (https://nasser-yamani.com/showthread.php?t=27544)