الإمام ناصر محمد اليماني
17 - محرم - 1434 هـ
22 - 10 - 2013 مـ
06:33 صباحــاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
ـــــــــــــــــــــــ

ردّ المهديّ المنتظَر من محكم الذِّكر إلى صاحب الحَجَرِ

Jiwe leusi ( Alhajar Al aswad ) Alama ya kuanzia tawafu kutufu kwa nyumba tukufu ndio ana'aza kuanzia pembe yake na anamalizia kwa pembe yake
katkia kila Tawafu Mzunguko na inamalizika tawafu mzunguko wa Nyumba Ya Zamani kwnye ile nukta yani pale pale ile nukta alio anzia tawafu mzunguko nayo.


Amerudisha jibu Al'Mahdi Al'Muntadhar Kutoka Kwa Muhkam Ilio wazi kwenye ukumbusho Kwa yule Mwenye Jiwe ..

Bismillah Allah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salamu Juu ya Wote Ma Nabi Na Mitume Wa Alihim Walio na tabia njema Na Wale Walio Wafwata Kwa ihsan Mpaka Siku Ya Mwisho, Ama Ba'Ada Ya Hapo..

Amesema Allah Ta3ala :
{وَلَوِ اتَّبَعَ الْحَقُّ أَهْوَاءَهُمْ لَفَسَدَتِ السَّمَاوَاتُ وَالْأَرْضُ وَمَنْ فِيهِنَّ ۚ بَلْ أَتَيْنَاهُمْ بِذِكْرِهِمْ فَهُمْ عَنْ ذِكْرِهِمْ مُعْرِضُونَ} صدق الله العظيم [المؤمنون:71].
Allah Ta3ala Asema: { Na lau itafwata Haki Matamanio Yao ingefisidika Mbingu Na Ardh Na Waliomo Ndani yake Bali Tumewapa Kwa Ukumbusho Wao Basi Wao Kwa Makubusho Yao
Wankanusha }
Sadaqa Allah Al3adim [ Almuminun : 71 ].

Eee Ewe Mwenye Jiwe, Hakika mimi nakuona wataka kuthibitisha kutukuzwa jiwe leusi ( alhajar al aswad ) na kuibusu ili isipote kima ya jiwe ambalo unalo kwakua wewe unaitakidi kua ni mabaki ya jiwe leusi, Na ewe mwnamume mimi nakuona ikiwa nitafwata matamanio yako utardhka na mimi na utanifwata, na ikiwa sikufanya hivo na nikatukuza nyumba ya Allah na sikufanya kutukuza peke ni ya jiwe leusi na hapa ndio utaghadibika na mimi ndio hutonifwata, Basi hamu yako yote ni jiwe lako! Basi Na Sikiza Fatwa Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Kweli Kwa kutoa Qasam Kiapo Kwa Allah Al'Wahid Al'Qahar: Hakuna kheri kwako kwenye lile jiwe, Lakini litupe baharini ili avunjike nguvu shetani kwa kukupoteza kwa jiwe, Na Samahani kwa jibu letu ambalo halitokupendeza kwakua hatofwata matamanio yako, Na Heihat Heihat Na Mola Mlezi Wa Ardhi Na Mbingu Haitofwata Haki Matamanio Yenu Madamu Niko Hai.

Na ewe mwanamume, Njo ili niwafundishe kuhusu siri ya kutafautisha Rangi Ya Jiwe Leusi kwakua Nabi Wa Allah Ibrahim Juu Yake Sala Na Salam Alitafuta jiwe liwe tafauti na majiwe ya nyumba ili iwe ni nukta ya alama inaotafutiana ili iyanze kuanzia tawafu hapo kwa nyumba ya zamani na inamalizika tawafu kwenye lile jiwe, Na lakini ameifanya ni alama pekeyake katika nyumba ya Allah Tukufu ili ianze tawafu kwa kulekeana na ile nukta na inamalizikia kwenye ile nukta na lakini tawafu ni katika nyumba ya Zamani wala sio kwa jiwe leusi. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:

{وَلْيَطَّوَّفُوا بِالْبَيْتِ الْعَتِيقِ (29)} صدق الله العظيم [الحج].
Allah Ta3ala Asema: { Na Ili Watufu Kwa Nyumba Ya Zamani ( 29 ) } Sadaqa Allah Al3adhm [ Alhaj ].

Na kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِذْ بَوَّأْنَا لإِبْرَاهِيمَ مَكَانَ البَيْتِ أَن لاَّ تُشْرِكْ بِي شَيْئاً وَطَهِّرْ بَيْتِيَ لِلطَّائِفِينَ وَالْقَائِمِينَ وَالرُّكَّعِ السُّجُودِ‏} صدق الله العظيم [الحج:26].
Allah Ta3ala Asema: { Na pindi tulipo muonesha Ibrahim pale ilpo Nyumba Kwamba Usinishirikishe na mimi kitu na utakase nyumba yangu kwa wanao tufu na wanao simama na kuruku na kusujudu } Sadaqa Allah Al3adhim [ Alhaj: 26 ].

Lakini jiwe leusi ni alama ya ku'anza tawafu kwa nyumba tukufu ndio ana'anza kwa pembe yake na anamalizia kwa pembe yake katila kila tawafu na inamalizikia tawafu kwa nyumba ya zamani kwenye ile nukta yani kwenye ile nukta alipo anza tawafu nayo, kwajili ya hivo ilitimu kuchagua jiwe Rangi yake Tafauti Na Rangi Ya Mawe Ya Nyumba Ya Allah Tukufu, Lakini hivo ni kwajili iwe ni alama ya kuanzia tawafu, Lakini nyinyi mumeifanya ni legend haja teremsha Allah Nayo Utawala, Nalo ni Jiwe halidhuru wala halinufaishi, Hivi hamui na Akili!

Basi utanieole radhi Mpenzi wangu katika kumpenda Allah ikiwa halikukupendaza jibu la Al'Imam Al'Mahdi, Basi Na Haki Ni Haki Kuifwata Basi tupa hlio Mabaki Katika Jiwe Ambalo Unalo katika bahari na umalize kutokana na shirki yake kwa Allah Bora Kwako, Wala usijute kwa ile sifa ulio mpa Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani kwakua yeye hakufwata matamanio yako; Bali um'take Mola Wako ili awuoneshe moyo wako kwa haki kutoka kwa Mola Mlezi Wako Wala halitokusaidia jiwe lako; kiwa'shio moto baina ya nguvu za Allah Al'Wahid Al'Qahar, Basi isikuchukuwe utukufu kwa dhmbi Mpenzi wangu kwajili ya Allah.

Na Salamon Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Alalamin..
Ndugu yenu; Alimam Almahdi Nasser Muhammad Al'Yamani

أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.

___________

Kifurushi Cha Bayana

https://nasser-alyamani.org/showthread.php?15700