KWAMFANO
افتراضي
{وَمَا يَسْتَوِي الْبَحْرَانِ هَذَا عَذْبٌ فُرَاتٌ سَائِغٌ شَرَابُهُ وَهَذَا مِلْحٌ أُجَاجٌ} ..

Allah Ta3ala Asema:{ HAIWI SAWA BAHARI MBILI HI MZURI FURATON TAMU UNAWEZA KUNYWA KWAKE NA HI NI CHUNVI KALI }


1 -
الإمام ناصر محمد اليماني
01 - 03 - 1430 هـ
26 - 02 - 2009 مـ
11:28 مساءً
ـــــــــــــــــ




Bismillahi Alrahman Alrahim, Na Swala Na Salamu ZIMFIKIE Mwenye Kuhitimisha Manabi Na Mitume Na Alihi Na Wenye Kuwafwata Mpaka Siku Ya Dini, Na baada..




Hakika Mimi Sifwati Matamanio yenu, Na Wala Sisemi Ju Ya Allah Ispokuwa Ni Kweli, Wala Sijuwi Maji ya Uhai Kama Munavo daii kuwa iko Kwa Makutano ya Bahari Mbili imempata Samaki akamfufuwa Allah Mara Ashakuwa Haaii; Bali Kweli ni kuwa Allah Amimwambia Musaa Achukuwe " Hut " Yani Samaki Amchukuwe nae Pamoja Na sehemu ya kuweka Chakula Chake Cha Safari Yake Aleyhi Asalat Wa Asalam, Na Allah Akamjulisha Kuwa Pale Pahali Atakapo Kumfufuwa Samaki Atampata Yule Mjaa Mwema Pahali pale, Na Huyo Ni Mjaa Katika Waja Wa Allah Wema, Wakatembea Mpaka Walipo Pata Jiwe Kubwa Akalala Musa Na Kijana Wake Ako Na viyombo va Chakula Cha Musaa, Na Wakati Walipo Lala Alimfufuwa Allah Samaki Akashika Njia Yake kuingia baharini Na Wao Wamilala, Na Alafu Waka'amka Waka'endelea Na Safari Yao Na Huku Wasubiri Wakati Gani Allah Atamfufuwa Samaki Ili Wasubiri Pale Pahali Atakapo fufuliwa Samaki, Alafu Wakatembe Masafa Marefu Mpka Aka'amua Mussa Kupumzika Akasema Kwa Kijana Wake; Tulete Chakula chetu Hakika Tumipata Kwenye Safari Yetu Tabu, Na Pindi Alipo Towa Kijana Wake Kifa Cha Kubebea Chakula Hakumpata Samaki, Kijana Wake Akasema; Umiona Pale Tulipo Enda Kwenye Jiwe Nilimona Mara Ya Mwisho Nilipo Towa Vifa Va Kupumzikia Pale Mara Ya kwanza, Ndio Alafu Wakarudi Kufwata Athari Zao, Mpaka Walipo Fika Kwenye Lile Jiwe Wakamona Yule Mjaa Mwema Kwenye Makutano Ya Bahari Mbili, Na Hio Ni Sehemu Ya Kumiminika Maji Ya Mmto Wa Nil Kwa BAHARI Ya Kati Na Hivo Hivo Mmto Una'itwa Bahari Ila Tu Hi Bahari Chunvi Na Hi Bahari Tamu,Allah Ta3ala Asema:
{وَمَا يَسْتَوِي الْبَحْرَانِ هَذَا عَذْبٌ فُرَاتٌ سَائِغٌ شَرَابُهُ وَهَذَا مِلْحٌ أُجَاجٌ}
صدق الله العظيم [فاطر:12].

Allah Ta3ala Asema:{ NA HAIWI SAWA BAHARI MBILI HI MZURI FURATON TAMU KUNYWA KWAKE NA HI NI CHUNVI KALI }
Sadaqa Allah Al3adhim [Fatir:12]





Lakini Hazicha'nganiki Yoyote Katika Bahari Chunvi Na Bahari tamu Kabisa, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أَمَّن جَعَلَ الْأَرْضَ قَرَارًا وَجَعَلَ خِلَالَهَا أَنْهَارًا وَجَعَلَ لَهَا رَوَاسِيَ وَجَعَلَ بَيْنَ الْبَحْرَيْنِ حَاجِزًا أَإِلَهٌ مَّعَ اللَّهِ بَلْ أَكْثَرُهُمْ لَا يَعْلَمُونَ} صدق الله العظيم [النمل:61].

Allah Ta3ala Asema:{ Na Nani Alifanya Ardhi Ni Utulivu Na Akafanya Katikati Yake Mito Na Akafanya Ndani Yake Majabali Na Akafanya Baina Ya Bahari Mbili Kinga Je Kuna Mungu Pamoja Na Mungu Bali Wingi Wao Hawajuwi } Sadaqa Allah Al3adhim[Alnaml:61]




Kokote Watakapo kutana Hawacha'nganyikani Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَهُوَ الَّذِي مَرَجَ الْبَحْرَيْنِ هَذَا عَذْبٌ فُرَاتٌ وَهَذَا مِلْحٌ أُجَاجٌ وَجَعَلَ بَيْنَهُمَا بَرْزَخًا وَحِجْرًا مَحْجُورًا}
صدق الله العظيم [الفرقان:53].

Allah Ta3ala Asema:{Na Yeye Ambae Ametembeza Bahari Mbili Hi Mzuri Furat Na Hi Ina Chunvi Kali Na Amefanya Baina Yao Kiziwizi Na Akafanya Mawe Na Mchnga}
Sadaqa Allah Al3adhim[Alfurqan:53]





Na Maji Ya Mito Yote Yamiminika Baharini Hivo Kwajili Ya Mito Inatembea Na Inatembea Mpaka Ipate Bahari Ndio Inamiminika Kwa Bahari Lakini Hai'changa'nyikani Pamoja Ya Kuwa Yako Kwenye Sehemu Moja Bahari Moja Mtu Akiona Nayo Ni Ya Chunvi Lakini Nazo Ni Bahari Mbili Kwenye Bahari Moja, Na Maji Tamu Mazuri Yanashuka Na Ya Chunvi Yanaolea Juyake Na Akafanya Baina Yao Kinga Mawe ya Mchanga Pmoja ya Kukutana Kwao Kwenye Sehemu Moja Lakini Hawatakani Kuwa'pamoja Kwa kuchan'ganyikana Sababu Hawawi Sawa Kwenye ikhtisas Zao Utendakazi Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا يَسْتَوِي الْبَحْرَانِ هَذَا عَذْبٌ فُرَاتٌ سَائِغٌ شَرَابُهُ وَهَذَا مِلْحٌ أُجَاجٌ}
صدق الله العظيم.

Allah Ta3ala Asema:{HAIWI SAWA BAHARI MBILI HI MZURI FURATON UNAWEZA KUNYWA KWAKE NA HI NI CHUNVI KALI}
Sadaqa Allah Al3adhim,



Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..


Alimam Nasser Muhammad Al'Yamani ..


۞منتديات البشرى الإسلامية۞
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=5290