الإمام ناصر محمد اليماني
_______________

وسأل سائل فقال: ما هي الأرض التي يتحدث عنها الله سبحانه وتعالى فى قوله: {وَأَوْرَ‌ثَكُمْ أَرْ‌ضَهُمْ وَدِيَارَ‌هُمْ وَأَمْوَالَهُمْ وَأَرْ‌ضًا لَّمْ تَطَئُوهَا} صدق الله العظيم؟ وأجاب الذي عنده علم الكتاب فقال:
ــــــــــــــــــــــ
Na Akauliza Mulizaji Akasema Na Ni'Ipi Hio Ardhi Ambao Anae'Izungumzie Allah Subhanahu Wa Ta3ala Katika Kauli Yake;


فى قولة ( (وأورثكم أرضهم وديارهم وأموالهم وأرضا لم تطؤها)صدق الله العظيم
{Na Akawarithisha Ardhi Yao Na Nyumba Zao Na Mali Yao Na Ardhi Ambayo Hamujaifikia} Sadaqa Allah Al3adhim ?
Na Akajibu Yule Ambae Anayo Ilmu Al'Kitab Akasema:
ـــــــــــــــ

Na Enyi Ma3ashara Ya Waislamu Na Watu Wote Huyo Ndio Al'Sheytan Kwa Dhati Yake Yeye Al'Masi7h Al'Dajal Na Bado Anazali Yuko Katika Bustani Ya Allah Katika Ardhi Iko Chini Katika Utajiri Na Hapo Ndio Bustani La Fitna Na Yuko Hapo Al'Masi7h Al'Dajal Na Anataka Kuwafitini Nayo Lakini Allah Ame'Waahidi Nayo Katika Dunia Kabala Bustani La Akhera Basi Ndio Awape Maisha Ndani Yake Maisha Mazuri Katika Ardhi Hamjawahi Kui'Kanyaga Ndio Awarithishe Allah Ardhi Yao Na Manyumba Yao Katika Dunia Kusadikisha Wadi Wa Allah Kwa Waislam) Na Hio Ardhi Ndio Ile Ardhi Hajai'Kanyaga Mguu Wa Mwislamu Katila Umma Wa Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Basi Mukim'tii Al'Shetan Na Mukamasi Khalifa Wa Allah Al'Mam Al'Madhi Itawapotea Kwenu Basi Hawaahidi Shetani Ila Kujighuri Basi Mukim'Tii Al'Masi7h Al'Dajal Ambae Ni Dhati Yake Al'Shetan Al'rajim Mwenyewe Basi Hamutoipata Na Ilikuwa Kwenye Mikono Ya Adam Na Mkewake Hawaa Mpaka Pindi Walivo Assi Amri Ya Mola Mlezi Wao Na Waka'Msadiki Amri Ya Alshetan Wakatoka Kwa Utukufu Walio Kuwa Nao Na Halikadhalika Nyinyi Sasa Mukiassi Amri Ya Allah Na Mukamsadiki Al'Shetan Basi Asiwaftini Nayo Alshetan Kama Alivo Watowa Wazazi Wenu Wawili Basi Ame'Wahadharisha Allah Fitna Yake Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى
((يَا بَنِي آدَمَ لا يَفْتِنَنَّكُمُ الشَّيْطَانُ كَمَا أَخْرَجَ أَبَوَيْكُمْ مِنَ الْجَنَّةِ يَنزِعُ عَنْهُمَا لِبَاسَهُمَا لِيُرِيَهُمَا سَوْآتِهِمَا إِنَّهُ يَرَاكُمْ هُوَ وَقَبِيلُهُ مِنْ حَيْثُ لا تَرَوْنَهُمْ إِنَّا جَعَلْنَا الشَّيَاطِينَ أَوْلِيَاءَ لِلَّذِينَ لا يُؤْمِنُونَ)صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:
{Enye Binadamu Asiwafitini Al'Shetan Kama Alivo Wafitini Kutoka Kwa Bustani Anatowa Juyao Vazi Lao ili Awaoneshe Uchi Zao Hakika Anawaona Yeye Na Wafwasi Wake Kutoka Pahali Hamuwaoni Hakia Sisi Tumiwafanya Mashetani Ni MAwali Wa Wale Hawaumini} Sadaqa Allah Al3adhim, Na AMewajulisha Muhammad Mtume Wa Allah Kuhusu Siku Ya Hio Ardhi Hio Ambo Wanaka Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allah Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kuwa Siku Ya Al'Dajal Kama Mwaka Katika Miyaka Yenu Akasema Aleyhi Aslat Wa Salam(يومه كسنة)(Siku Yake Kama Mwaka) Yani Siku Kama Mwaka Katika Miyaka Yenu Na Enyi Watu Lakini Mimi Naw'Azungumzia Kwa Ilmu Ya Haki Abmao Mutaipata Ni Haki Katika Waki Ya Kweli Na Nyinyi Bado Munazali Katika Dunia Na Sifwati Porojo Zenu Ambazo Haikubali Akili Na Matik Na Nime'Wafafanuloa Kuhusu Bustani Ya Fitna Ambao Ilikuwa Ni Sababu Fitna Kwa Adam Akachunga Ju Yake Na Kutaka Kubaki Ndani Yake Ila Ame'Mhofisha Al'Shetan Kuhusu Huo MMea Kusema Kuwa Allah Hajmkataza Huo Mea Ila Wasiwe Malaika Wawili Na Wa'Kudumu Kwenye Hio Neema Walioko Ndani Yake Na Kuchunga Kwajili Ya Hayo Wakala Huo Mmea Basi Asiwafitini Al'Shetan Kama Alivo Watowa Wazazi Wenu Wawili Kutoka Bustani Hakika Mimi Kwenu Nawapa Nasaha Mwaminifu Na Hio Bustani Iko Chini Kwenye Utajiri Nayo Ni Ya Allah Kusdikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى
((لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَافِي الأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا وَمَا تَحْتَ الثَّرَى)) صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:
{Ni Yake Kiliomo Katika Mbingu Na Katika Ardhi Na Baina Yao Na Kiliomo Chini Ya Utajiri}}Sadaqa Allah Al3adhim Na Inayo Mashariki Mboli Kutokana Na Upande Mbili Inakabiliana Na Hio Ndio Ardhi Ina Mashariki Mbili Na Mashariki Zake Nazo Ni Dhati Yake Mgharibi zake Na Hio Ni Ya Allah Wala Sio Ya Aduwi Wake Na Aduwi Wenu Al'Masi7h Aldajal Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala;
تصديقاً لقول الله تعالى
((رَبُّ المَشْرِقَيْنِ وَرَبُّ المَغْرِبَيْنِ))صدق الله العظي
Allah Ta3ala Asema :
{Mola Mlezi Wa Mashariki Mbili Na Mola Mlezi Wa Magharibi Mbili} Sadaqa Allah Al3adhim Yani Ina Milango Miwili Moja Wao Uko Pembezoni Mwa Kusini Na Maingine Uko Mwisho Wa Pembe Mwa Kazkazini Na Umbali Mkuu Katika Nokta Mbili Katika Ardhi Hi Ni Baina Ya Hayo Milango Miwili Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى
((حَتَّى إِذَا جَاءنَا قَالَ يَا لَيْتَ بَيْنِي وَبَيْنَكَ بُعْدَ الْمَشْرِقَيْنِ فَبِئْسَ الْقَرِينُ))صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:
{ Mpaka Alipo Tujia Alisema Yaleti Baina Yangu Na Baina Yako Umbali Wa Mashariki Mbili Basi Muovu Mno Rafiki} Sadaqa Allah Al3adhim Kwjili Umbali Wa Nukta Mbili Katika Hi Ardhi Ni Umbali Wa Mashariki Mbili Kwasababu Ziko Katika Upande Mbili Inakabiliana Na Linatoka Kushuruku Juwa Kutoka Kwa Mlango Wa Kusini Kwenye Hio Ardhi Ambayo Imenyoshwa Basi itapita Mwangaza Wajuwa Mpaka Itokeze Kwa Upande Wa Malngo Wa Kazkazini Kwa Sababu Hio Ardhi Imestawi Kimazingara Na Akainyosha Kuinyosha Akaitandika Kwa Mamboga Na Matunda Na Akainyosha Kuinyosha Basi Utaiona Kutokezea Wala Haina Miteremko Imefichika Bali Imetokezea Kustawi Akainyosha Allah Akaitandika Na Mimea Ya Mboga Na Matunda Akaifanya Imenyoka Kustawi Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى
(﴿ وَالسَّمَاء بَنَيْنَاهَا بِأَيْدٍ وَإِنَّا لَمُوسِعُونَ * وَالْأَرْضَ فَرَشْنَاهَا فَنِعْمَ الْمَاهِدُونَ ))صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:
{Na Mbingu Tumezijenga Na Mikono Na Hakika sisi Ni Wenye Kuipanua Na Ardhi Tuminyosha Basi Ni Mmjuzi Alioinyosha} Sadaqa Allah Al3adhim Kwa Mana Kuwa Ameifanya Imetokezea Imenyoshwa Ikiwa Moja Wenu Amesmama Kwenye Moja Ya Milango Yake Basi Yeye Ataona Juwa Upandi Umikabiliana Nae Kwa Malango Mwengine Na Hio Ni Kusawirisha Mazingara Yake Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala
تصديقاً لقول الله تعالى
( وَالْأَرْضَ فَرَشْنَاهَا فَنِعْمَ الْمَاهِدُونَ )صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:
{ Na Ardhi Tuminyosha Basi Ni Mjuzi Alio Inyosha} Sadaqa Allah Al3adhim Na Hio Ardhi Ameweka Allah Kwajili Ya Viumbe Ndani Yake Kuna Matunda Na Mitende Yeny Mafumba Na Nafaka Zenye Mkapi Na Rehan Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى
(( وَالْأَرْضَ وَضَعَهَا لِلْأَنَامِ (10) فِيهَا فَاكِهَةٌ وَالنَّخْلُ ذَاتُ الْأَكْمَامِ (11) وَالْحَبُّ ذُو الْعَصْفِ وَالرَّيْحَانُ (12) فَبِأَيِّ آلَاء رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ)صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:
{Na ardhi ameiweka kwa ajili ya viumbe(10)Humo yamo matunda na mitende yenye mafumba(11)Na nafaka zenye makapi, na rehani. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha(12)} Sadaqa Allah Al3adhim

Na Ama Kauli Yake:
(وَأَوْرَثَكُمْ أَرْضَهُمْ وَدِيَارَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ)
{Na Akawarithisha Ardhi Yao Na Manyumba Zao Na Mali Yao} Na hio Inamhusu Mtume Wa Allah Sala Allahu Alryhi Wa Alihi Wa Salam Na Walioko Na Yeye Na Ama Kauli Ya Allah Ta3ala:
(قول الله تعالى ( وَأَرْضاً لَّمْ تَطَؤُوهَا وَكَانَ اللَّهُ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيراً
{Na Ardhi Hamuja'Ikanyaga Na Allah Kwa Kila Kitu Ni Mwenye Uwezo} Basi Yeye Akusudia Al'Imam Al'Mahdi Na Hizbu Yake Wale Ambao Nafsiyake Ni Hizbu Ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Na Sote Ni Hizbu Ya Allah Ala Hakika Hizbu Ya Allah Wao Ndio Wenye Kushinda Na Ataturithisha Malakut Ya Hio Ardhi Kutokana Na Manyumba Na Mali Na Je Ardhi Ambao Amewahidi Nayo Allah Na Haijakanyaga Mguu Wa Mwislamu Katika Maumiyin bado Na Hio Ndio Bustani Ya Fitna Makasri zake Kutokana Na Fedha Na Milango Yake Dhahabu Na Mapambo Na Vipandio Vinawapeleka Ju Wanadhihri Nayo Amesaliti Nayo Al'Msi7h Aldajal Ambae Analingania Watu Kukufuru Kwa Allah Wa Haki Na Anadai Uwungu Bila Ya Haki Na Anawahidi Makafiri Kwa Ulinganizi Wa Haki Kwa Hizi Manyumba Ambazo Sakafu Yake Kutokana Na Fedha Na Milango Ya Dhahabu Na Anataka Kufanya Watu Umma Moja Kwenye Ukafiri Na Wala Aaahidi Shetani Ila Ni Kujighuri Na Hio Bayana Ya Haki Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
لقول الله تعالى((وَلَوْلَا أَن يَكُونَ النَّاسُ أُمَّةً وَاحِدَةً لَجَعَلْنَا لِمَن يَكْفُرُ بِالرَّحْمَنِ لِبُيُوتِهِمْ سُقُفاً مِّن فَضَّةٍ وَمَعَارِجَ عَلَيْهَا يَظْهَرُونَ 33) وَلِبُيُوتِهِمْ أَبْوَاباً وَسُرُراً عَلَيْهَا يَتَّكِؤُونَ (34) وَزُخْرُفاً وَإِن كُلُّ ذَلِكَ لَمَّا مَتَاعُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَالْآخِرَةُ عِندَ رَبِّكَ لِلْمُتَّقِينَ (35))صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:
{Na Lau kama Tumefanya Watu Umma Moja tungeifanya Kwa Yule Alio Kufuru Kwa Al'Rahman Nyumba Zao Sakafu Zake Kutokana Na Fidha Na Vipandio Vinawainuwa Ju Wanadhirika Nayo(33) Na Kwa Manyomba Zao Milnago Na Makochi Ju yake Wanategemea(34) Na Mapambo Na Hakika Yote Hayo lakini Ni Pumbao La Maisha Ya Dunia Na Akhera Kwa Mola Wako Mlezi Ni Ya Wachaji(35)} Sadaqa Allah Al3adhim,

Ama Hamuamini Kwa Ardhi Ni Nafaka Katika Ardhi Ambao Hamuja'Ikanyaga Enyi Ma3ashara Ya Waislamu Na Ndani Yake Ishara Za Allah Ta3ala Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى
((فإن استطعت أن تبتغي نفقا في الأرض)
{Na Ukiweza Kuwa Utake Nafaka Kwenye Ardhi} Na Mimi Nataka Ni Vamie Basi Hatutosubiri Mpaka Atuvamie Al'Masi7h Al'Dajal Kuhofia Kuwa Afanye Watu Umma Moja Kwenye Ukafiri Kulingana Na Fitna Ya Malakut Ambao Amewatowa Ndani Yake Na Sisi Ju Yao Ni Wenye Kuwakahiri Na Anataka Allah Awafanye Umma Moja Kwa Haki Na Lau Atawalingania Al'Masih Al'Dajal Kwa Kumkufuru Allah Enyi Ma:ashara Wa Umma Huu Basi Mungemfata Kulingana Na Fitna Ya Mulki Iliomo Katika Hio Ardhi Lakini Hio Ni Pambo La Maisha Ya Dunia Na Zukhruf Yake Na Hataki Shetani Mtu Aingie Ila Atakae Kukufurj Allah Na Kumasi Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Na Natowa Qasam Kwa Mola Mlezi Mwenye Nguvu Na Utukufu Wake Nitamtowa Ndani Yake Kwa Kudra Ya Allah Kwa Unyonge Na Kuangamia Yeye Na Wote Ma'Jeshi Yake Ambao Anawa'Anda Kutokana Na Kizazi Cha Watu Kutokana Na Ma'Yahudi Baba Zao Ni Watu Na Mamazao Ni Wanawake Kutokana Na Mashetani Mai'Jini Ndio Walale Nao Katika Wale Walio Badilisha Umbile La Allah Basi Wazae Kwa Al'Masi7h Al'Dajal Al'Shetan Al'Rajim Na Sisi Hakika Juu Yao Qahirun Kwa Idhni Ya Allah Al3aziz Al'Hakim Ndio Anirithishe Mimi Na Ambae Wako Na Mimi Ardhi Yao Na Manyumba Zao Na Mali Yao Kwenye Ardhi Hamjawahi Kuikanyaga Kusadikisha Wa'Adi Wa Allah Ya Haki:
تصديقاً لوعد الله بالحق(( وَأَوْرَثَكُمْ أَرْضَهُمْ وَدِيَارَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ وَأَرْضاً لَّمْ تَطَؤُوهَا وَكَانَ اللَّهُ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيراً))صدق الله العظيم
{{ Na Akawarithisha Ardhi Yao Na Manyumba Zao Na Mali Yao Na Ardhi Hamujawahi Kanyaga Na Allah Kwa Kila Kitu Ni Mwenye Uwezo}} Sadaqa Allah Al3adhim


وسلامُ على المُرسلين والحمدُ لله رب العالمين
خليفة الله الإمام المهدي ناصر محمد اليماني

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin.
Khalifa Wa Allah Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=2008
ـــــــــــــــ