الموضوع: Fatwa kwa wanao uliza kuhusu kukaa Kwa “As’hab Alkahfu” Watu Wa Pango Mara ya kwanza na Mara pili katika kuhesabu sayari tatu katika Kitabu, ni ukumbusho kwa wenye akili..

النتائج 1 إلى 2 من 2
  1. افتراضي Fatwa kwa wanao uliza kuhusu kukaa Kwa “As’hab Alkahfu” Watu Wa Pango Mara ya kwanza na Mara pili katika kuhesabu sayari tatu katika Kitabu, ni ukumbusho kwa wenye akili..

    - 1 -
    Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
    الإمام المهدي ناصر محمد اليماني
    16 - 09 - 1433 هـ
    04 - 08 - 2012 مـ
    08:55 صباحًا
    (بحسب التّقويم الرّسميّ لأمّ القُرَى)

    [لمتابعة رابط المشـاركة الأصليَّة للبيـان]
    https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=54507
    __________



    الفتوى للسائلين عنْ لَبْثِ أصحاب الكهف الأول والثاني بحساب ثلاثة كواكبٍ في الكتاب، ذكرى لأولي الألباب..
    Fatwa kwa wanao uliza kuhusu kukaa Kwa “As’hab Alkahfu” Watu Wa Pango Mara ya kwanza na Mara pili katika kuhesabu sayari tatu katika Kitabu, ni ukumbusho kwa wenye akili..



    Bismillah Arahman Arahim, Na Swala Na Salam Ju Ya Ma Nabi Wa Allah Na Mitumi Wake Na Ali Zao Walio Wema Walio Takasika Na Walio Wafwata Kwa Haki Mpaka Siku Ya Dini, AMA Baad..

    Na Enye Ma3ashara ya waulizaji kuhusu kukaa kwa watu wa Pango kwa Mara ya Kwanza na ya Pili, hakika mimi simsemi juu ya Mwenyezi Mungu isipokuwa haki, na hio kwenu swali na jawabu kutoka kwa muhkam ilio wazi maana yake Kitabu, mawaidha kwa wale wenye akili:

    Suali 1- Kwa vile Maswahaba wa Pango walikuwa bado ndani ya pango lao wakati wa kutumwa kwa alio khitimu Manabii na Mitumi, Muhammad, Mtumi wa Mwenyezi Mungu, swala na salamu zimshukie yeye na aali zake, kwa ushahidi wa Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {وَتَحْسَبُهُمْ أَيْقَاظًا وَهُمْ رُقُودٌ ۚ وَنُقَلِّبُهُمْ ذَاتَ الْيَمِينِ وَذَاتَ الشِّمَالِ وَكَلْبُهُمْ بَاسِطٌ ذِرَاعَيْهِ بِالْوَصِيدِ لَوِ اطَّلَعْتَ عَلَيْهِمْ لَوَلَّيْتَ مِنْهُمْ فِرَارًا وَلَمُلِئْتَ مِنْهُمْ رُعْبًا}
    Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Alkahf:18].

    Swali linalojitokeza: Je, Maswahaba wa Pangoni walitoka kwenye pango lao baada ya kukaa mara ya kwanza kisha wakarejea? Je, ni upi ushahidi wako kutoka kwa muhkam lio wazi mana yake katika Kitabu juu ya kuondoka kwao baada ya kumaliza kukaa kwao mara ya kwanza na kurejea kwao pangoni na kukaa mara ya pili?

    Jibu1- Ama uthibitisho ulio wazi katika muhkam ilio wazi maana yake Qur’ani Tukufu juu ya kutoka kwao katika pango lao baada ya mwisho wa usingizi wao wa kwanza, mutaukuta katika kauli ya Allah Ta3ala:
    {وَلَبِثُوا فِي كَهْفِهِمْ ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ}
    Sadaqa Allah Al3adhim: [Al-kahf:25],
    Na tunaichunguza kwa undani kutokana na aya hii kwamba wote walitoka pangoni mwao baada ya kumalizika kwa kukaa kwao Mara ya kwanza.
    Kwajili ya hivo Amesema Allah T3ala:
    {وَلَبِثُوا فِي كَهْفِهِمْ ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ}
    Ikimaanisha kwamba walitoka baada ya kupita miaka mia tatu ya kimwezi.

    Suali2- Baada ya Mungu kuwamasha baada ya kukaa kwao kwa mara ya kwanza, je, waliulizwa na mtu yeyote kutoka kwa walimwengu ili waweze kumwambia kisa chao?
    Na jibu mutalikuta katika muhkam ilio wazi maana yake kitabu kwamba Hekima ya kuwaamsha ni kuulizana wao kwa wao, na hawakuuliza lolote katika walimwengu ili Mwenyezi Mungu asiifichue siri yao kwa majaaliwa yaliyowekwa katika kitabu kilichoandikwa. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
    {كَذَلِكَ بَعَثْنَاهُمْ لِيَتَسَاءَلُوا بَيْنَهُمْ}
    Sadaqa Allah Al3adhim:[Al-kahf:19].
    Na Inakudhihirikia kuwa Mungu aliwatuma wasemezane, na hawakusema na mtu baada ya kuamka kwa mara ya kwanza. Kwa Jili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
    {كَذَلِكَ بَعَثْنَاهُمْ لِيَتَسَاءَلُوا بَيْنَهُمْ قَالَ قَائِلٌ مِّنْهُمْ كَمْ لَبِثْتُمْ قَالُوا لَبِثْنَا يَوْمًا أَوْ بَعْضَ يَوْمٍ قَالُوا رَبُّكُمْ أَعْلَمُ بِمَا لَبِثْتُمْ فَابْعَثُوا أَحَدَكُم بِوَرِقِكُمْ هَذِهِ إِلَى الْمَدِينَةِ فَلْيَنظُرْ أَيُّهَا أَزْكَى طَعَامًا فَلْيَأْتِكُم بِرِزْقٍ مِّنْهُ وَلْيَتَلَطَّفْ وَلا يُشْعِرَنَّ بِكُمْ أَحَدًا إِنَّهُمْ إِن يَظْهَرُوا عَلَيْكُمْ يَرْجُمُوكُمْ أَوْ يُعِيدُوكُمْ فِي مِلَّتِهِمْ وَلَن تُفْلِحُوا إِذًا أَبَدًا}
    Sadaqa Allah Al3adhim:[Al-Kahf:19]

    Suali 3- Je, mtu aliyetoka pangoni alienda mjini na kuwaletea chakula?

    Jibu 3-
    Badala yake, alirudi kutoka kwenye mlango wa pango kwa sababu Mungu alikuwa ameuangamiza mji wa watu wao baada yao, na hivyo mtu huyo akatoka kwenye mlango wa pango na hakuona jiji au ma taa. Ulikuwa ni usiku, lakini hakuona chochote zaidi ya giza sana katika utulivu wa usiku huo, na hakuona hata nuru kwenye nyumba za mtu yeyote kutoka katika kijiji hicho kikubwa, bali giza lilio zidi.
    Kisha akawaita wenzake wachunguze jambo hilo, kisha wakatoka wote hadi kwenye mlango wa pango na kusikiliza kwa makini, wakitumaini kwamba wangesikia mbwa wakibweka, au punda wakilia, au sauti za ng'ombe, au kunguruma kwa mbwa. jogoo, ili kuwaonyesha kwamba watu wao walikuwa hai, kwa hiyo labda walikuwa wamelala.
    Lakini hawakusikia chochote kana kwamba hakuna maisha karibu nao, kwa hiyo walishangaa! Ndipo wakaamua kurudi pangoni kulala mpaka asubuhi ndipo waone kwa mlango wa pango ni nini kiliwapata watu wao baada yao. Basi wao Hawajui kwamba Mungu ameangamiza kijiji cha watu wao miaka elfu tisa iliyopita.
    Mpaka pindi waliporudi kwenye pango lao kulala mpaka asubuhi, basi Mungu aliyapiga masikio yao kukamilisha kipindi chao cha pili cha miaka tisa. Hadi leo, bado wanalala kwa muda wao wa pili. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {وَازْدَادُوا تِسْعاً}
    Sadaqa Allah Al3adhim:[Al-Kahf:25].

    Ninashuhudia kwa Mungu kwamba wakati wa kukaa kwao kwa mara ya kwanza ni miaka elfu tisa kulingana na siku za wanadamu, na kwamba wakati wa kukaa kwao mara ya pili ni miaka elfu tisa kulingana na siku za wanadamu, na hakika sisi ni wakweli.

    Labda mmoja wa waulizaji angependa kusema: "Hili ni jambo la kushangaza! wangewezaje kutumia mara ya kwanza kwa miaka mia tatu, na unasema miaka elfu tisa, na kukaa kwao Mara pili kwa miaka tisa! Na unasema hivo hivo miaka elfu Tisa? Basi nifundisha baadhi ya siri za hesabu katika muhkam ilio wazi maana yake Kitabu, mawaidha kwa wenye akili, na fatwa kwa wanaouliza juu ya kukaa kwa watu wa Pango muda wao wa Kwanza na wa Pili”. Kisha Imam Mahdi Nasser Muhammad Al-Yamani anawajibu na kusema: Hesabu itakuwa kwa kukokotoa mwendo wa sayari tatu, moja wapo ni sayari yenye kung’aa, na sayari yenye nuru, na sayari katika ardhi ya wanadamu. Labda muulizaji angependa kusema: "Je! kuna hesabu ya mwezi na hesabu ya jua kwenye kitabu?" . Kisha tunawapa fatwa waulizaji kwa ukweli kwamba kuna hesabu ya jua kulingana na harakati ya jua, na hesabu ya mwezi kulingana na harakati ya mwezi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {الشَّمْس وَالْقَمَر بِحُسْبَانٍ}
    Sadaqa Allah Al3adhim:[Al-Rahman:5].

    Mwezi wa jua ni sawa na siku elfu za mwandamo wa mwezi huo huo


    Swali linalojitokeza: Je! siku moja ya mwezi inalingana na siku ngapi kulingana na hisabu za mwanadamu?

    Na Jibu: Siku thelathini za ardhi kwa mujibu wa siku za binadamu, kwa hivyo mwezi wa jua ni sawa na miezi elfu ya wanadamu.

    Ili suala lisiwe gumu kwenu, mujue kuwa sekunde moja ya mwezi ni sawa na sekunde thelathini za ardhi. Kadhalika, dakika ni sawa na dakika thelathini za ardhi, saa ni sawa na saa thelathini za ardhi, siku ni sawa na siku thelathini za ardhim, na mwezi ni sawa na miezi thelathini ya Ardhi. Mwaka wa mwandamo wa mwezi huo huo bila shaka utakuwa sawa na miaka thelathini ya ki ardhi. Na kisha tunakuja kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
    {وَلَبِثُوا فِي كَهْفِهِمْ ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ}
    Sadaqa Allah Al’3adhim, Hii ina maana ya kuhesabu mwaka wa mwandamo kwa mwezi ule ule, mwendo wa mwezi, na siku ya mwandamo.

    Swali linalojitokeza ni: Je, miaka mia tatu ya mwandamo ni sawa na miaka ya mwanadamu kwa kiasi gani? Jibu: Kwa kuwa siku ya mwandamo kwa mwezi huo huo ni sawa na siku thelathini za ardhi na mwezi ni miezi thelathini, basi mwaka mmoja wa mwandamo kwa mwezi huo huo bila shaka ni sawa na miaka thelathini ya ardhi. Kwa hivyo tunazidisha:
    [{miaka mia tatu} x thelathini]= Miaka elfu tisa, kuhesabu miaka ya kiardhi kwa hesabu sawa na siku za mwanadamu, sio zaidi ya sekunde moja na sio chini ya sekunde moja. Kipindi cha mwandamo sawa na miaka elfu 9000, sio zaidi ya sekunde na sio chini ya sekunde]]

    Na kisha tunakuja kwa hisabu ya muda wao wa pili Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {وَازْدَادُوا تِسْعاً}
    Sadaqa Allah Al’3adhim.

    Kisha tunarudi kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {الشَّمْس وَالْقَمَر بِحُسْبَانٍ}
    Sadaqa Allah Al’3adhim:[Al-Rahman:5].
    Hii ina maana kwamba muda wa kuka kwao kwa mara ya pili ni, kwa hesabu, harakati ya jua. Na kwa kuwa mwezi wa jua ni sawa na miezi elfu moja katika muhkam ilio wazi maana yake Kitabu kulingana na siku za wanaadamu, basi mwaka mmoja wa jua ni sawa na miaka elfu ya mnavyohesabu. Kisha tunajua Bayana ya haki ya Kauli ya Allah Ta3ala: {وَازْدَادُوا تِسْعاً} Yani; Miaka tisa ya jua, na kwa kuwa mwezi wa jua ni sawa na miezi elfu ya miezi ya mwanadamu, basi mwaka wa jua ni sawa na miaka elfu ya kile unachohesabu.
    Kwahivo Bayana Ya Haki Kwenye Kauli ya Allah Ta3ala: {وَازْدَادُوا تِسْعاً} Hiyo ni, miaka tisa ya jua, ambayo ni sawa na miaka elfu tisa ya kile
    Munachohisabu, na ni sawa na kukaa kwao kwa kwanza na kukaa kwao kwa pili. Haikuongeza sekunde moja au kupunguza sekunde moja, ingawa hesabu haikuwa kuhesabu harakati za sayari moja, lakini ni kuhesabu harakati za mwezi, jua na ardhi zilishiriki ndani yake.

    Matokeo yalimalizika kwa hesabu ya siku za mwanadamu:
    Kukaa kwao kwa mara ya kwanza ni miaka elfu tisa ya mnavyo hesabu, na kukaa kwao mara ya pili miaka elfu tisa ya mnavyo hesabu, na hakika sisi ni wakweli.


    Na Salam Ju Ya Mitumi, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
    Labda mmoja wa waulizaji angependa kusema: “Ewe Nasser Muhammad, wewe ni mnajimu unayejua kukokotoa mwendo wa sayari hii.” Kisha Imam Mahdi akamjibu na mimi husema: Ninaapa kwa Mwenyezi Mungu kwamba sikuwa kamwe mnajimu au msomi wa kidini; Bali ni Bayana ya kweli ya Qur’an! Je, hivi hamutafakari? Lau ningekuwa mnajimu kama munavyodai, ungekuta tangazo langu la mwanzo wa mwezi wa Shawwal wa mwaka 1433 kuwa kama tangazo la wanajimu wote wa Kiarabu na wasio Waarabu; Wamekubaliana kwamba siku ya kwanza ya Shawwal ya mwaka huu 1433 isiwe Jumamosi, bali Jumapili. Kwa sababu kwa mujibu wa elimu yao ya elimu ya anga, mwezi unatua kabla ya kuzama kwa jua siku ya Ijumaa tarehe 29 Ramadhani 1433Hijiria. Lakini tangazo la Mahdi Anayesubiriwa kuwa Eid al-Fitr itaangukia Jumamosi, Kwa sababu najua kutoka kwa Mungu kile ambacho wanajimu wote wa Kiarabu na wasio Waarabu hawajui. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote, atakuonyesheni Ishara zake na mtazitambua, na Mola wenu Mlezi si mwenye kughafilika na mnayo yatenda.

    Ndugu yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
    أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
    __________



    ======== اقتباس =========

    اقتباس المشاركة 54513 من موضوع الفتوى للسائلين عنْ لَبْثِ أصحاب الكهف الأول والثاني بحساب ثلاثة كواكبٍ في الكتاب، ذكرى لأولي الألباب..

    -1-
    [ لمتابعة رابط المشـاركـــــــــة الأصليَّة للبيــــــــــــــان ]

    https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=54507

    الإمام ناصر محمد اليماني
    16 - 09 - 1433 هـ
    04 - 08 - 2012 مـ
    08:55 صباحاً
    ـــــــــــــــــــ

    الفتوى للسائلين عنْ لَبْثِ أصحاب الكهف الأول والثاني بحساب ثلاثة كواكبٍ في الكتاب، ذكرى لأولي الألباب..

    بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على كافة أنبياء الله ورسله وآلهم الطيبين الطاهرين والتابعين الحق إلى يوم الدين، أمّا بعد..
    ويا معشر السائلين عن لَبْثِ أصحاب الكهف الأول والثاني، حقيقٌ لا أقول على الله إلا الحقّ، وإليكم السؤال والجواب من محكم الكتاب ذكرى لأولي الألباب:

    ســـ 1 - بما إنّ أصحاب الكهف لا يزالون في كهفهم في زمن بعث خاتم الأنبياء والمرسلين محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم بدليل قول الله تعالى: {وَتَحْسَبُهُمْ أَيْقَاظًا وَهُمْ رُقُودٌ ۚ وَنُقَلِّبُهُمْ ذَاتَ الْيَمِينِ وَذَاتَ الشِّمَالِ وَكَلْبُهُمْ بَاسِطٌ ذِرَاعَيْهِ بِالْوَصِيدِ لَوِ اطَّلَعْتَ عَلَيْهِمْ لَوَلَّيْتَ مِنْهُمْ فِرَارًا وَلَمُلِئْتَ مِنْهُمْ رُعْبًا} صدق الله العظيم [الكهف:18].

    والسؤال الذي يطرح نفسه: هل أصحاب الكهف بعد أن انقضى لبثهم الأول خرجوا من كهفهم ومن ثم عادوا؟ وما دليلك من محكم الكتاب على خروجهم بعد انقضاء لبثهم الأول وعودتهم إلى كهفهم لقضاء لبثهم الثاني؟
    جـــ 1 - فأمّا البرهان المبين في محكم القرآن على خروجهم من كهفهم بعد انقضاء لبث نومتهم الأولى فتجدونه في قول الله تعالى: {وَلَبِثُوا فِي كَهْفِهِمْ ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ} صدق الله العظيم [الكهف:25]. ونستنبط من هذه الآية أنهم خرجوا جميعاً من كهفهم بعد انقضاء لبثهم الأول. ولذلك قال الله تعالى: {وَلَبِثُوا فِي كَهْفِهِمْ ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ}، بمعنى أنهم خرجوا منه بعد مُضي ثلاث مائة سنة قمريّة.

    ســـ 2 - وهل بعد أن بعثهم الله بعد انقضاء لبثهم الأول، فهل سُئِلوا من أحدٍ من العالمين حتى يخبرونه بقصتهم؟ والجواب تجدونه في محكم الكتاب إن الحكمة من بعثهم هو للتساؤلٍ فيما بينهم، ولم يتساءلوا مع أحدٍ من العالمين حتى لا يكشف الله سرّهم إلى القدر المقدور في الكتاب المسطور. ولذلك قال الله تعالى: {كَذَلِكَ بَعَثْنَاهُمْ لِيَتَسَاءَلُوا بَيْنَهُمْ} صدق الله العظيم [الكهف:19].
    ويتبين لكم أنّ الله بعثهم ليتكلموا مع بعضهم بعضاً، ولم يتكلموا من بعد بعثهم في اللبْثِ الأول مع أحدٍ، ولذلك قال الله تعالى:
    { كَذَلِكَ بَعَثْنَاهُمْ لِيَتَسَاءَلُوا بَيْنَهُمْ قَالَ قَائِلٌ مِّنْهُمْ كَمْ لَبِثْتُمْ قَالُوا لَبِثْنَا يَوْمًا أَوْ بَعْضَ يَوْمٍ قَالُوا رَبُّكُمْ أَعْلَمُ بِمَا لَبِثْتُمْ فَابْعَثُوا أَحَدَكُم بِوَرِقِكُمْ هَذِهِ إِلَى الْمَدِينَةِ فَلْيَنظُرْ أَيُّهَا أَزْكَى طَعَامًا فَلْيَأْتِكُم بِرِزْقٍ مِّنْهُ وَلْيَتَلَطَّفْ وَلا يُشْعِرَنَّ بِكُمْ أَحَدًا إِنَّهُمْ إِن يَظْهَرُوا عَلَيْكُمْ يَرْجُمُوكُمْ أَوْ يُعِيدُوكُمْ فِي مِلَّتِهِمْ وَلَن تُفْلِحُوا إِذًا أَبَدًا} صدق الله العظيم [الكهف:19].

    ســـ 3 - فهل الرجل الذي خرج من الكهف ذهب إلى المدينة فأحضر لهم طعاماً؟
    جـــ 3- بل عاد من باب الكهف كون الله خسف بمدينةِ قومِهم من بعدهم، ولذلك خرج الرجل إلى باب الكهف ولم يشاهد مدينةً ولا أضواءً، وكان الوقت ليلاً ولكنه لم يشاهد شيئًا غير ظلامٍ دامسٍ في سكون الليل، ولم يشاهد حتى قَبَسَ ضوءٍ في بيوت أحدٍ من القرية الكبيرة، بل ظلامٌ دامسٌ.
    ومن ثم استدعى أصحابه لينظروا في الأمر، ومن ثم خرجوا جميعاً إلى باب الكهف فأَرهفوا السمع علّهم يسمعون نباح كلابٍ أو نهيق حميرٍ أو أصوات أنعامٍ أو صياح ديكٍ ليدلّهم على وجود قومهم أحياءٌ فلعلّهم نائمين، ولكنهم لم يسمعوا شيئًا وكأنه لا حياة حولهم، فأدهشهم الأمر! ومن ثم قرّروا العودة إلى الكهف ليناموا إلى الصباح ومن ثم ينظروا من باب الكهف ماذا حدث لقومهم من بعدهم، فهم لا يعلمون أنّ الله خسف بقرية قومهم قبل تسعة آلاف سنة، حتى إذا رجعوا إلى كهفهم ليناموا إلى الصباح ومن ثم ضرب الله على آذانهم لقضاء لبثهم الثاني تسع سنوات. ولا يزالون حتى الساعة الآن في منامهم لقضاء لبثهم الثاني. تصديقاً لقول الله تعالى:
    {وَازْدَادُوا تِسْعاً} صدق الله العظيم [الكهف:25].

    وأشهد لله أنَّ زمن لبثهم الأول تسعة آلاف سنة بحساب أيام البشر، وإنّ زمن لبثهم الثاني تسعة آلاف سنة بحساب أيام البشر، وإنا لصادقون .

    ولربما يودُّ أحد السائلين أن يقول: "إن هذا لشيء عُجاب! فكيف لبثُهم الأول ثلاث مائة سنة، فتقول تسعة آلاف سنة! وكذلك لبثهم الثاني تسع سنوات وتقول كذلك تسعة آلاف سنة؟ إن هذا لشيء عجاب! فعلّمني من أسرار الحساب في محكم الكتاب ذكرى لأولي الألباب وفتوى للسائلين عن لبث أصحاب الكهف الأول والثاني". ومن ثم يردُّ عليهم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني وأقول: إنّ الحساب سوف يكون بحساب حركة ثلاثة كواكبٍ أحدهم كوكب مضيءٌ وكوكب منيرٌ وكوكب أرض البشر. ولربما يودُّ السائل أن يقول: "وهل يوجد في الكتاب حساب قمريٌّ وحساب شمسيٌّ؟" . ومن ثم نُفتي السائلين بالحق أنه يوجد حساب شمسيٌّ بحركة الشمس، وحساب قمريٌّ بحركة القمر. تصديقاً لقول الله تعالى:
    {الشَّمْس وَالْقَمَر بِحُسْبَانٍ} صدق الله العظيم [الرحمن:5].

    وشهر الشمس يعدل ألف يوم قمريٍّ من أيام ذات القمر .


    والسؤال الذي يطرح نفسه: فكم يعدل يوم القمر بحسب أيام البشر؟
    والجواب: ثلاثون يوماً أرضيّاً بحسب أيام البشر، إذاً الشهر الشمسي يعدل ألف شهرٍ من أشهر البشر.

    وحتى لا تُعَقَدُ عليكم المسألة فاعلموا أنّ الثانية الواحدة من ثواني القمر تعدل ثلاثين ثانية أرضية، وكذلك الدقيقة تعدل ثلاثين دقيقة أرضيّة، والساعة تعدل ثلاثين ساعة أرضيّة، واليوم يعدل ثلاثين يوماً أرضيّاً، والشهر يعدل ثلاثين شهراً أرضيّاً، والسنة القمرية لذات القمر حتماً سوف تعدل ثلاثين سنة أرضيّة. ومن ثم نأتي لقول الله تعالى:
    {وَلَبِثُوا فِي كَهْفِهِمْ ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ} صدق الله العظيم، ويقصد بحساب السّنة القمريّة لذات القمر وبحركة القمر ويوم القمر.

    والسؤال الذي يطرح نفسه،:فكم تعدل ثلاث مائة سنين قمريّة بحساب سنين البشر؟ والجواب: فبما أنّ اليوم القمري لذات القمر يعدل ثلاثين يوماً أرضياً والشهر ثلاثين شهراً فحتماً السَّنة القمريّة الواحدة لذات القمر تعدل ثلاثين سنة أرضيةً، إذاً نقوم بضرب:
    [ {ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ} x ثلاثون ] = تسعة آلاف سنة بحساب السنين الأرضيّة بنفس حساب أيام البشر لا تزيد ثانية واحدةً ولا تنقص ثانية واحدة.
    [[
    {ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ} قمرية تعدل 9000 ألف سنة لا تزيد ثانية ولا تنقص ثانية ]]

    ومن ثم نأتي لحساب لبثهم الثاني تصديقاً لقول الله تعالى:
    {وَازْدَادُوا تِسْعاً} صدق الله العظيم [الكهف:25].

    ومن ثمّ نعود لقول الله تعالى:
    {الشَّمْس وَالْقَمَر بِحُسْبَانٍ} صدق الله العظيم [الرحمن:5]. فهذا يعني أنّ لبثهم الثاني هو بالحساب الشمس لحركة الشمس، وبما أنّ الشهر الشمسي يعدل ألف شهرٍ في محكم الكتاب حسب أيام البشر إذاً السَّنة الشمسيّة الواحدة تعدل ألف سنة مما تعدون، ومن ثم نعلَم البيان الحق لقول الله تعالى {وَازْدَادُوا تِسْعاً} صدق الله العظيم، أي: تسع سنوات شمسيّة. وبما أنّ السّنة الشمسيّة الواحدة تعدل ألف سنةٍ من سنين البشر البيان الحقّ لقول الله تعالى: {وَازْدَادُوا تِسْعاً} أي: تسع سنوات شمسية، وبما أن الشهر الشمسي يعدل ألف شهر من أشهر البشر إذاً السّنة الشمسيّة تعدل ألف سنة مما تَعُدّون.
    إذا البيان الحقّ لقول الله تعالى:
    {وَازْدَادُوا تِسْعاً} أي تسع سنين شمسيّة، وهي تعدل تسعة آلاف سنة مما تعدون، وتساوى لَبْثَهم الأول ولبثهم الثاني، فلم تَزِد ثانية أو تنقص ثانية واحدة برغم إنّ الحساب لم يكن بحساب حركة كوكبٍ واحدٍ، بل اشترك فيها حساب حركة القمر والشمس والأرض.

    وانتهت النتيجة بحساب أيام البشر :
    لبثهم الأول تسعة آلاف سنة مما تعدّون، ولبثهم الثاني تسعة آلاف سنة مما تعدّون، وإنا لصادقون ..


    وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله رب العالمين..
    ولربّما يودّ أن يقول أحد السائلين: "يا ناصر محمد إنك عالِمٌ فلكيٌّ عليمٌ بحساب حركة الكوكب" . ومن ثم يردّ عليه الإمام المهدي وأقول: أقسم بالله العظيم ما كنت يوماً عالِماً فلكياً ولا عالِمَ دينٍ؛ ولكنه البيان الحقّ للقرآن! أفلا تتفكرون؟ ولو كنت عالماً فلكيّاً كما تزعمون لوجدتم إعلاني لغرّة شهر شوال لعام 1433 كمثل إعلان كافة علماء الفلك العرب والعجم؛ متفقين أنّ غرّة شوال لهذا العام 1433 لا تنبغي أن تكون السبت بل الأحد، كونهم حسب علمهم الفلكيّ أنّ القمر يغرب قبل غروب شمس الجمعة 29 رمضان 1433 للهجرة، ولكنّ إعلان المهدي المنتظر إنّ عيد الفطر المبارك يوافق يوم السبت، كوني أعلم من الله ما لا يعلمه كافة علماء الفلك العرب والعجم. والحمد لله رب العالمين سيريكم آياته فتعرفونها، وما ربك بغافل عمّا تعملون.

    أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
    ــــــــــــــــــــ

    اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..

  2. افتراضي Je, Jibril na Malaika pamoja naye waliwaona Watu wa Pangoni?

    - 2 -

    Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
    الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
    16 - 09 - 1433 هـ
    04 - 08 - 2012 مـ
    05:46 صباحًا
    (بحسب التّقويم الرّسميّ لأمّ القرى)

    [ لمتابعة رابط المشـاركة الأصليَّة للبيان ]
    https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=54490
    __________



    هل اطَّلع جبريل ومن معه من الملائكة على أصحاب الكهف ؟
    Je, Jibril na Malaika pamoja naye waliwaona Watu wa Pangoni?




    Bismillah ARahman ARahim, Na Salam Ju Ya Mitumi Na Ali Zao Walio wema na Walio Fwata haki Mpaka Siku ya Dini. Ama Baad..

    Na Enyi Wapendwa wangu wanao uliza, Swali lenu ni je, Jibril na Malaika walio pamoja naye – rehema na amani ziwe juu yao – waliwatazama Maswahaba wa Pangoni siku waliponyanyua “Tabut” Sandugu kwenye Pango la Maswahaba wa Pangoni? Kisha tunakujibu kwa haki na kusema: Kuna msikiti wenye umbo la kuba ambao ndani yake gari linaweza kuzunguka kwa vizuri Ilijengwa kwenye mlango wa moja ya mapengo ya ndani ya pango. Kuna mlango wa jiwe; Mlango wa pengo ndani ya msikiti, na atakayeufungua atawaona maswahaba wa pangoni walio lala.

    Na Ama wabebaji Wa “Tabut” Sanduku walilileta msikitini na kuliweka msikitini bila ya kufungua mlango wa mawe katika kuta za msikiti mmoja. Kwa sababu atakayelifungua atawaona Maswahaba wa Pangoni. Na Malaika wa Mwingi wa Rehema hawakufungua mlango kwa sababu hawakuamrishwa kufanya hivyo.

    Na Salam Ju Ya Mitumi, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
    Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
    أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
    ___________



    ======== اقتباس =========

    اقتباس المشاركة 54514 من موضوع الفتوى للسائلين عنْ لَبْثِ أصحاب الكهف الأول والثاني بحساب ثلاثة كواكبٍ في الكتاب، ذكرى لأولي الألباب..

    -2-
    [ لمتابعة رابط المشـاركـــــــــة الأصليَّة للبيــــــــــــــان ]
    https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=54490

    الإمام ناصر محمد اليماني
    16 - 09 - 1433 هـ
    04 - 08 - 2012 مـ
    05:46 صباحاً
    ـــــــــــــــــــ


    هل اطَّلع جبريل ومن معه من الملائكة على أصحاب الكهف ؟


    بسم الله الرحمن الرحيم، وسلامٌ على المرسلين وآلهم الطيبين والتابعين الحقّ إلى يوم الدين، أمّا بعد..
    ويا أحبتي السائلين، وسؤالكم هل اِطَّلع جبريل ومن معه من الملائكة -عليهم الصلاة والسلام- على أصحاب الكهف يوم رَفعوا التابوت إلى كهف أصحاب الكهف ؟
    ومن ثم نردُّ عليكم بالحقّ ونقول: إنه ليوجد مسجدٌ على شكل قُبّة تستطيع أن تدور فيه السيارة بالراحة قد تمَّ بناؤه في باب إحدى الفجوات الداخليّة في الكهف، ويوجد بابٌ حجريٌّ؛ باب الفجوة داخل المسجد، وذلك الباب من فتحه يطّلع على أصحاب الكهف النائمين.

    وأما بالنسبة لحملة التابوت فلقد أحضروه إلى المسجد ووضعوه في المسجد ولم يقوموا بفتح الباب الحجريّ الذي في أحد حيطان الجامع، كون من فتحه يطَّلع على أصحاب الكهف. وملائكة الرحمن لم يفتحوا الباب كونهم لم يُؤمروا بذلك.

    وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
    أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
    ـــــــــــــــــــــــ

    اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..

المواضيع المتشابهه
  1. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 22-04-2024, 09:32 PM
  2. Katika Matokeo Ya Usiku Wa Kadara (Leilatul Qadri) Na Kuwaongezea Zaidi Katika Siri Za Kitabu Ukumbusho Kwa Wenye Akili ..
    بواسطة زينة الإسلام (فارسة الحق) في المنتدى Swahili
    مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 19-04-2020, 09:33 PM
  3. Katika Matokeo Ya Usiku Wa Kadara (Leilatul Qadri) Na Kuwaongezea Zaidi Katika Siri Za Kitabu Ukumbusho Kwa Wenye Akili ..
    بواسطة زينة الإسلام (فارسة الحق) في المنتدى Swahili
    مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 19-04-2020, 12:09 AM
  4. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 01-03-2018, 08:33 PM
  5. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 04-02-2018, 09:33 PM
ضوابط المشاركة
  • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
  • لا تستطيع الرد على المواضيع
  • لا تستطيع إرفاق ملفات
  • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
  •