Malaika Wa Mauti Ni Nani

Suali:
Tulisoma Kwa Wanazuoni Wetu Kwamba Malik Almot Ni 3Izrail Na Miongoni Mwao Walie'Sema Kwamba Jina Lake ni Malikilmot Na Waka'Wafikiana Kua yeye ni Malaika moja anaweza kukamata roho ya mamia ya watu kwa wakati moja hata kama makundi katiyao yako sehemu tafauti katika pembe za Ardhi .
Na hi yakhalifu katika Kudra, Yake "Al'i7hata" Uweza wa kila kitu kudhibiti Ambao Hio Ni Hususi Peke Ni Allah Ta3ala Ambae Anaweza Kufanya Kazi Tafauti Kwa Wakati Moja Kwa Kun Fayakun Kua Na Kinakua .
Basi Nini Fatwa Ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Hayo ?????



Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
30 - 12 - 1428 هـ
08 - 01 - 2008 مـ
12:21 صـــباحاً
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Mama Wa Vijiji)
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)

http://: http://www.awaited-mahdi.co...read.php?1040-

ــــــــــــــــــ

Amejibu Mwenye Ilimu ya Kitabu Kwa Habib Alhabib Na Bayana Ya Haki Haina Raib Utetanishe Ndani Yake .
{ مَّا يَلْفِظُ مِن قَوْلٍ إِلَّا لَدَيْهِ رَ‌قِيبٌ عَتِيدٌ } [ق:18]
[Qaf:18]

Bismillahi Al'Rahman Al'Rahim
Amesema Allah Ta3ala:
{وَلَا يَأْتُونَكَ بِمَثَلٍ إِلَّا جِئْنَاكَ بِالْحَقِّ وَأَحْسَنَ تَفْسِيرًا} صدق الله العظيم [الفرقان:٣٣].'
{ثُمَّ إِنَّ عَلَيْنَا بَيَانَهُ} صدق الله العظيم [القيامة:١٩].

Na Kwake Nataka Msa'ada Na Napokea Bayana Ya Haki Ya Al'Quran Al3adhim Kwa Wahyu Wa Kufahamishaa Wala Sio Waswasa wa Shetani Rajim; Bali Nasadikisha Bayana Ya Haki Kwa Kuchunguza Utawala Wa Wazi Ulio bainika Kutoka Kwa Al'Quran Kitabu Cha Allah Kinao Angaza Nilinganie Kwa Njia Ya Mola Mlezi Wangu Kwa Basira Kujua Na Mimi Ni Katika Waislamu Alafu Ama Ba'ada Ya Hapo ..


Na Ewe Habib Al'Habi, Hio Kwako Bayana Ya Haki Kuhusu Malaika 3atid Na Malaika Raqib, Na Hivo Hivo Hio Kwako Natangaza Ushindi Juu Yako Kabla Ya Mazungumzo Kwamba Mimi Nitakushinda Kwa Haki Ni Kunyamzishe Kukunyamazisha Kwa Idhini Ya Allah Ikiwa unatka haki Mpaka ujuwe Kwamba Mimi Ni Haki Kutoka Kwa Mola Wako,
Basi ikikuchukua Utukufu Kwa Dhambi kwa kweli Allah atakuambatisha Na Wewe Shetani Amfanye Ndio awe Mwenzako Akuzuwia Na Uongofu Ba'Ada Ilipo kukujia, Na ikiwa Haitokuchukua Utukufu wa dhambi Basi Atakuchagua Allah Akujalie Ni Katika 'Al'Nuwab Al'Mukaramin" Ma Gavana Wahishimiwa Al'Sidiqin Katika Ulimwengu Kabla Ya Kudhihiri Wale Ambao Wamesadiki Kwa Bayana Ya Haki Kwa Aya Za Mola Mlezi Wao Wala Hawakuitaka Kombo Wala Hawasemi Juu Ya Allah Wasio kijua Na Wanasikiza Kauli Na Wanafwata ilio Bora, Basi Kuwa Kati Yao Na Nataraji Kutoka Kwa Allah Uwe Kati Yao, Hivi haikutoshi kwamba mimi nimekueleza yale ambao wataka kuyatangaza kwa ulimwengu kua wewe ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar kabla kutangaza nikawatangazia wao yale uliyataka Kuyasema Kabla Hujayasema? Basi Vile Alivo Nipitishia Mola Mlezi Wangu Kwa Yale Ulio Taka Kusema Kabla Hujasema Kua Wewe ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Basi Hivo Hivo Anipa ilham kunijulisha Na Bayana Ya Haki Ya Al'Quran basi usiwe mjinga unisadiki kwa Bayana Ya Haki Kwa Aya Ulio Taka ikiwa sikukuletea Utawala kutoka kwa Nafsi ya Al'Quran Na Nifafanuwe Kuifafanua Kwa Yale Alio Nifundisha Mola Mlezi Wangu Kwa Ilimu Ya Yakini Bila Utetanishi Wala Shaka, Wala Sisemi Juu Ya Allah Kwa Bayana Ya Al'Quran Yale Siyajuwi Nifwatw Dhana Ambao haisaidi Mbele Ya Haki Kitu; Bali ina uongofu zaidi Na Nifanye Uwadilifu Kwa Haki Na Niongoze Nayo kwa Njia Ilionyoka.
Na Hio Kwako Bayana Ya Haki Kutoka Kwa Nafsi Ya Haki Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَلَا يَأْتُونَكَ بِمَثَلٍ إِلَّا جِئْنَاكَ بِالْحَقِّ وَأَحْسَنَ تَفْسِيرًا} صدق الله العظيم [الفرقان:٣٣].
Akasema Allah Ta3La:
{وَلَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنْسَانَ وَنَعْلَمُ مَا تُوَسْوِسُ بِهِ نَفْسُهُ وَنَحْنُ أَقْرَبُ إِلَيْهِ مِنْ حَبْلِ الْوَرِيدِ ﴿١٦﴾ إِذْ يَتَلَقَّى الْمُتَلَقِّيَانِ عَنِ الْيَمِينِ وَعَنِ الشِّمَالِ قَعِيدٌ ﴿١٧﴾ مَا يَلْفِظُ مِنْ قَوْلٍ إِلَّا لَدَيْهِ رَقِيبٌ عَتِيدٌ ﴿١٨﴾ وَجَاءَتْ سَكْرَةُ الْمَوْتِ بِالْحَقِّ ذَٰلِكَ مَا كُنْتَ مِنْهُ تَحِيدُ ﴿١٩﴾} صدق الله العظيم [ق].


Na Kawenu Hio Bayana Ilio Kusanya Kila Kitu Kuhusu Raqib Na 3atid Na Sisi Hakika Ni Wakeli Kwa Idhni Ya Mola Mlezi Wa Ulimwengu:

Na Hakika Ya Raqib Na 3atid Wao Ni Katika Malaika Wa Allah Waliokaribu Amewatuma Allah ili Wafanye Kuhifadhi Vitendo Va Mtu Na Kauli Yake Kheri Yake Na Shari Yake, Basi Akimtaja Allah Kwa Ulimi Wake Anandika Raqib Tamko la Utajo, Na Akimtaja Mtu Allah Kwa Nafsi Yake Bila lafdhi ya ulimi wala kutingisha mdomo wake basi hajuwi Raqib nini kinacho mpitikia Kwa Nafsi Ya Mtu Lakini Anajua Kwa Hayo yule Alie'Mumba Mtu Na Yuko Karibu Kwa Ilimu Yake Kuliko Mshipa Wa Koni Mwake, Basi Anampa Wahyu Allah Kwa Raqib Kwa Yale Ambao Imempitikia Mtu Ndani Ya Nafsi Yake Kutokana Na Utajo Ulio Fichika, Basi Anapokea Raqib Wahyu Kutoka Kwa Mola Wake Mlezi Ndio Aihifadhi kwenye Kitabu Kilio Takasika Ambao Ilioko Mkononi Mwake.


Na Raqib Ni Balozi Mwakilishi Wa Bustani Pepo Janat Alma'wa ili Kuandika Yale Ambao Yanakupasa Uipate Kutokana Na Kauli Na Vitendo Vema Kwajili Ya Hivo Anawita Allah Katika Al'Quran "Safara" Mabalozi Yani Balozi Wa Pepo Kuandika Utajo Wa Allah Na Vitendo Vema, Akasema Allah Ta3ala:


{كَلَّا إِنَّهَا تَذْكِرَةٌ ﴿١١﴾ فَمَنْ شَاءَ ذَكَرَهُ ﴿١٢﴾ فِي صُحُفٍ مُكَرَّمَةٍ ﴿١٣﴾ مَرْفُوعَةٍ مُطَهَّرَةٍ ﴿١٤﴾ بِأَيْدِي سَفَرَةٍ ﴿١٥﴾ كِرَامٍ بَرَرَةٍ ﴿١٦﴾} صدق الله العظيم [عبس].
Kwa Mana Handiki Ispokua Katika Mazungumzo Ya Mtu Ya kheri, Kwajili Ya Hivo Akasema Allah Ta3ala:


{فَمَنْ شَاءَ ذَكَرَهُ ﴿١٢﴾ فِي صُحُفٍ مُكَرَّمَةٍ ﴿١٣﴾ مَرْفُوعَةٍ مُطَهَّرَةٍ ﴿١٤﴾ بِأَيْدِي سَفَرَةٍ ﴿١٥﴾ كِرَامٍ بَرَرَةٍ ﴿١٦﴾} صدق الله العظيم [عبس].

Na "Safara" Wao Ni Malaika Mabalozi Wa Bustani Janat Al'Maawa. Na Yuko Kwa Kila Mtu Moja Kati Yao Anaitwa Raqib Na Yuko Kuliani Kwa Mtu Na Amekalifishwa Nae Kutoka Mwanzo Wa Kusmamisha Hoja Mpaka Mwisho Katika Mwisho Wake Wa Mamuzi Ya Milele Ya Kabisa.


Na Ama 3atid Basi Nae Kadhalika Ni Malaika Wa Allah Wahishimiwa Walio Karibu Ni Katika Wenye Nguvu Wakali Kwa Haki, Nae Ni Balozi Wa Jahanam Amekalifishwa Kuandika Kila Kauli Na Vitendo Sio Vema Inao Lekeza Kwa Jahanam Na Anandika Hata Yale Yanao Mpitia Ndani Ya Nafsi Ya Mtu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:


{وَإِنْ تُبْدُوا مَا فِي أَنْفُسِكُمْ أَوْ تُخْفُوهُ يُحَاسِبْكُمْ بِهِ اللَّهُ} صدق الله العظيم [البقرة:٢٨٤].
Lakini 3atid hajuwi kinacho mpitikia mtu ndani ya nafsi yake; Bali Anapokea Hayo Kwa Wa7hyu Kutoka Kwa Yule Aliomumba Mtu Ambae Yuko Karibu Kwa Ilimu Yake Kuliko Mshipa Wa Shingo Yake; Ambae Yuko Na Wao Popote Watakapo Kua Anasikia Na Anaona, Allah Hapana Mola Ispokua Yeye Mola Mlezi Wa Ulimwengu Ambe Anajua Ukhaini Wa Macho Na Kinacho Fichika vifuwani; Na Ukitoa Kauli basi Anajua Siri Na Kinacho Fichika; Allah Hapana Mola Ispokua Yeye Anayo Majina Mazuri, Na Ama Anao Tamka Mtu Kwa Mdomo Na Ulimi Basi Ikiwa Ni Kheri Aniandika ( Raqib) Na Ikiwa Shari Anaiandika (3atid), Basi Wao Hawandiki Kila Anacho Sema Mtu Bali Kauli Inaolekeza Peponi Ama Kauli inao lekeza Motoni, Kwajili Ya Hivo Akasema Aliah Ta3ala:



{كَلَّا إِنَّهَا تَذْكِرَةٌ ﴿١١﴾ فَمَنْ شَاءَ ذَكَرَهُ ﴿١٢﴾ فِي صُحُفٍ مُكَرَّمَةٍ ﴿١٣﴾ مَرْفُوعَةٍ مُطَهَّرَةٍ ﴿١٤﴾ بِأَيْدِي سَفَرَةٍ ﴿١٥﴾ كِرَامٍ بَرَرَةٍ ﴿١٦﴾} صدق الله العظيم [عبس].
Basi Tunapata Kwamba Malaika Ambao Ni Ma'Balozi Wa Mabustani Janat Almaawa Hawandiki Maneno Ispokua Utajo Na Kila Kauli Ndani Yake Kheri Kama Kuamrisha Sadaka ama Wema ama kuleta suluhu baina ya watu, Na yote hayo sio ila ni sehemu katika takaza ambao walio kalifishwa nazo Raqib Na 3atid.


Alafu Tunaenda Kwa Takaza Yao Ingine Nayo ni: Wakati inapo mjia mtu kadari ya mauti iliokadiriwa katika kitabu kilioandikwa na imekurubia ajali yake ambae ni hatimai na kila ajali ina kitabu ambao imeandikwa nambari anaisadikisha Allah Kwenye Wakati Wake ulio na alama na haikua nafsi iwe itakufa ila kwa idhini ya Allah Kitabu kilio ajiliwa, Basi Hapo Anakua (Raqib) Na (3atid) Wao Wenyewe Ndio Malaika Wa Mauti, Basi Ikiwa Mtu Ni Katika Watu Wa Motoni Anampa Wa7hyu Allah 3atid Basi Ampe Wa7hyu Kua Yeye Ndio Malaika wa Mauti Ambae Amewakilishwa Kwa Huyu mtu, Na Alafu Anafanya Malaika Raqib Kumsaidia 3atid Kumfisha Huyu Mtu Ambae Ni Katika Watu Wa Mijimoto ambae Alimwambatanisha Allah Nae Shetani Basi Nae Kweke Ni Mwenzake Amzuwie kwa njia am Waswasa Kumonesha Ni katika walio'ongoka, Na Ba'ada Kuagizwa Kwa Malak Wa Mauti 3atid Ambae Amewakilishwa Kwa Makafiri, Na kwa kila mtu kafiri kwa kumtaja Malaika Anaitwa 3atid, Na Wala Hakufanya Allah Ma'Laika Wa Mauti Ni Moja Peke Subhanahu Ametukuka! Kwahivo vipi ataweza Malaika Moja awafishe watu ajigawanye ! hapa Na Pale na katika wakati moja wanakufa watu wengi kila mahali ! Na eee Subhana Allah Ambae Amfikilia kila kitu Rahma Na ilimu Na Yeye Kwa kila kitu Anaweza Kwa Wakati Moja, Na hio ni sifa sio ispokua ni ya Allah Subhanahu Na Hakujalia Allah Mtu Wala Jini Wala Malaika Wana Moyo Miwili Katika Kifua Chake Bali Sifa Ya Allah Amabe Haina Mfano Wake Kitu Anaweza Kusikia Huyu Na Yule Na Aumbe Huyu Na Yule Kwa Wakati Moja Wala Hapitikiwi Wala Hasahau Wala Haimchukuwi Hata kidogo Usingizi Wala Haghafiliki kwa kitu Na Yeye Kwa Kila Kitu Anweza Kwa Wakati Moja, Na Hivo Ni Kwajili Labda Anataka Moja Wenu Anikatize Aseme:" Allah Ta3ala Asema:

: {قُلْ يَتَوَفَّاكُمْ مَلَكُ الْمَوْتِ الَّذِي وُكِّلَ بِكُمْ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّكُمْ تُرْجَعُونَ} صدق الله العظيم [السجدة:١١]".

Na Alafu Anarudisha Kwake Jibu Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Na Niseme Kwa Kutoa Kiapo Kwa Qasam Billah Al3aliyu Al3adhim Kwamba Malaika Wa Mauti Alio Wakilishwa Kwa Makafiri Kwamba Yeye Ni Malaika 3atid; Na Yeye Ndio Ndege Wa Mtu Kwenye Shingo Yake ikiwa imesmamishwa Hoja Juu Yake, Akasema Ta3ala:


{قَالُوا إِنَّا تَطَيَّرْنَا بِكُمْ لَئِنْ لَمْ تَنْتَهُوا لَنَرْجُمَنَّكُمْ وَلَيَمَسَّنَّكُمْ مِنَّا عَذَابٌ أَلِيمٌ ﴿١٨﴾ قَالُوا طَائِرُكُمْ مَعَكُمْ أَئِنْ ذُكِّرْتُمْ بَلْ أَنْتُمْ قَوْمٌ مُسْرِفُونَ ﴿١٩﴾} صدق الله العظيم [ي].

Lakini Sio Ndege Moja bali Kila Mtu Ana Ndege Wake Nae Malaika Wa Mauti Atid ,Akasema Allah Ta3ala:


وقال الله تعالى: {وَكُلَّ إِنْسَانٍ أَلْزَمْنَاهُ طَائِرَهُ فِي عُنُقِهِ وَنُخْرِجُ لَهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ كِتَابًا يَلْقَاهُ مَنْشُورًا ﴿١٣﴾ اقْرَأْ كِتَابَكَ كَفَىٰ بِنَفْسِكَ الْيَوْمَ عَلَيْكَ حَسِيبًا ﴿١٤﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].
Na Labda Anapenda Moja Katika Waislamu Wote Anikatize Aseme:" Bali Malaika Wa Mauti Anaitwa (3azrail )" Na Alafu Narudiaha Jibu Kwake Na Nasema: Njo Kwenye Al'Quran Al'3adhim Na Nani Bora Kwa Kuhukumu Kuliko Allah Kwa Kaumu Wanao Juwa Ndio Hawafwati Dhana Ambao Haisaidi Mbele Ya Haki Kitu, Na TaAllahi lawu Sio kutaka Kumtakasa Mola Mlezi Wangu Kuwa Hakuna Kama Mfano Wake Kitu Nisinge Funguwa Mazungumzo Kuhusu 3azrail! Lakini Akida Yenu Kuhusu 3azrail inafanana Sifa katika Sifa Za Allah Ambae Hakuna Kama Yeye Kitu chochote Nayo Nisifa ya Kudra Na Kuweza Kujuwa Kila Kitu Kwa Wakati Moja, Na Lao ingekuwa Akida Yenu Kuhusu 3azrail Inashirikiana Na Sifa Katika Sifa Za Allah Subhanah Niseingie Kukashifu kuhusu Uhakika Wa 3azrail; Jina Haja'Teremsha Allah Utawala Katika Al'Quran, Lakini Allah Ameteremsha Katika Al'Quran Majina Ya Malaika Wa Mauti Wote Wale Ambao Wanafisha Watu Wote Na Wala Hakuwacha Moja Kati Yao Pamoja Yakuwa Idadi Ya Malaika Wa Mauti ni Mrdufu Ya Idadi Ya Watu Wote Kutoka Wa Mwanzo wao Mpaka Wamwisho Wao, Na Ametaja Allah Majina Ya Malaika Wote Katika Al'Quran Hakuwacha Hata Moja Na Hatukupata Baina Yao Malaika Aitwa 3azrail Kabisa Kata Kata,


Na Hivo Nimipata Kuwa Wao Wanapokea Al'Wahyu Moja Kwa Moja Kutoka Kwa Alhayu Al'Qayum Allah Mola Mlezi Wa Walimwengu Yule Ambae Amemumba Mtu Na Anajuwa Kinacho zungumzia Ndani Ya Nafsi Yake Na Yeye Ni Karibu Kuliko Mshipa Wa Shingoni'Mwake Ndio Anwapa Wahyu Rakib na Atid Kwa Yale Yanao Mpitia Mtu, Na Wao Hawajuwi Yale Yanao Pitia Kwa Mtu Ndani Ya Nafsi Yake; ispokuwa Yule Alio Mumba Anajuwa Kilio Dhihiri Na Kilio Fichika Ndani Ya Vifuwa, Ama Kwa Yale Anao Tamka Kwa Ulimi Wake Na Mdomo Wao Kwa Hayo Wanajuwa, Na Ikiwa Ni kheri Ataiandika Rakib Na Ikiwa Ni Shari Ataiandika Atid, Na Nyenye Mwajuwa Enye Ma3ashara ya waislamu Kuwa Malaika Wawili Rakib Na Atid Wako Na Kila mtu Na Wao Ni malaika Wawili Moja Anaitwa Rakib Na Mwengine Anaitwa Atid ,Na Mwajuwa Kuwa Sio Wawili Pekeyake Wanajuwa Kwa Kila Kitu Wanacho Kifanya Watu, Na Subhanahu Yule Ambae Amefinika Kila Kitu Na Ilmu Yake Sifa Ya Allah Pekeyake Subhanah! Bali Anapatikana Kwa Kila Mtu


Malaika Wawili Moja Wao Aitwa Rakib Kama Munavo Juwa Na Mwengine Anaitwa Atid Na Amiwafanya Allah Wao Ni Mabalozi Wa Pepo Na Moto, Na Hawo Ni Mabalozi Walio Kirimiwa Albarara Yani Balozi Wa Na3im Na BaloZi Wa Jahim, Ndio Mwenye Kutaka Atamtaja Subhanahu Ndio Atandika Rakib Balozi Wa Peponi,



Na Tutaenda Sasa Kwa Kazi Yao Ya Pili Nayo Wakati Wakufisha Na Tutatafuta Katika Al'Quran Pamoja Nani Hawo Malaika Wa Mauti Wale Wanawafisha Watu Awe Ni Mtu Wa Peponi Ama Wa Motoni, Na Ama Watu Wa Jahim Napata Katika Al'Quran Kuwa Allah Ana'Wakilisha Kwao Malaika Wa Mauti Atid Yani Kwa Kila Mtu Kati Yao Ana Malaika Ambae Amewakilishwa Kwake Anae Itwa Atid Na Sio Malaika moja Anafisha Ma'Nafsi , Na Tuhukumiane Kwa Al'Quran Al'3adhim Ikiwa Nynyi Kwa Hio Munakiamini,


Na Kama Vile Tulivo'Watajia Kabla Kuwa Wanao Hivadhi Ni Malaika Wale Ambao Amewatuma Allah Kuandika Vitendi Va Mtu Kheri Yake Na shari Yake Wanabaki Nae MpakaiIkija Mauti Wanamfisha Alafu Wana Mwinuwa, Na Wao Hatingishiki Na yeye Wakamwacha Hata Bada kufa; Bali Wao Wanabaki Na Yeye Na Hawamwachi, Kwajili Ya Wao Wamekalifishwa Pamoja Na Watu Wa Motoni Hata Ba'Ada Ya Mauti Mpaka Siku Wanapo Simama Watu Kwa Mola Mlezi Wa Walimwengu.


Na Kama Tulivo Sema Kuwa; Wenye Kuhifadhi Vitendo Ni Malaika Rakib Na Malaika Atid Wale Ambao Amewatuma Allah Kubaki Na Watu Na Kuandika Vitendo Vake Na Kauli yake Mpaka Ije Ajali Yake Ndio Wanapewa Wahyu Kutoka Kwa Allah Kumfisha Huyu Mtu, Akasema Allah Ta3ala:

وقال الله تعالى: {وَهُوَ الْقَاهِرُ فَوْقَ عِبَادِهِ وَيُرْسِلُ عَلَيْكُمْ حَفَظَةً حَتَّىٰ إِذَا جَاءَ أَحَدَكُمُ الْمَوْتُ تَوَفَّتْهُ رُسُلُنَا وَهُمْ لَا يُفَرِّطُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:٦١].

Lakini amri Inatafauti Hapo Akiwa Mtu Ni Katika Watu Wa Peponi basi Yule Ana'Wakilishwa Kutowa Roho Yake Ni Malaika Rakib Balozi Wa Peponi Na Malaika Atid Anafanya Kazi Ya Kumsaidia Malaika Rakib Kwa Kutowa Roho Ya Mu'Umin, Na Ama Akiwa Anae Kufa Ni watu Wa Motoni Basi Yule Ambae Ame'Wakilishwa Kwake Ni Malaika Atid Balozi Wa Moto Na Alafu Anafanya Kazi Ya Kumsaidia Malaika Rakib,


Na Wala Haiwi Sawa Watu Wa Motoni Na Watu Wa Peponi Wakati Wa Kufa Kwao Na Inatafautiana Sakarat Almaut Uchungu Wa Mauti Na Hio Ni Kwajili Ya Malaika Wa Mauti Rakib Na Atid Wana'Isisimuwa Roho Ya Mumimn Kususumuwa Na Ama Ikiwa Ni Watu Wa Jahim Wana'Isisimuwa Kwa kiluwia Zao Kwa Kupigwa Kwa Nguvu Kwenye Uso'Zao Na Kwa Nyuma Kwao Kupigwa Kwa Kipigo Kinao Umiza Sana Ndio Tunakuta Kwenye Al'Quran Al'3adim Kuwa Wana'Wanyoshea Mikono Yao Kwa kuwa'Wapiga Kipigo Cha Nguvu, Aksema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى: {وَلَوْ تَرَىٰ إِذِ الظَّالِمُونَ فِي غَمَرَاتِ الْمَوْتِ وَالْمَلَائِكَةُ بَاسِطُو أَيْدِيهِمْ أَخْرِجُوا أَنْفُسَكُمُ الْيَوْمَ تُجْزَوْنَ عَذَابَ الْهُونِ بِمَا كُنْتُمْ تَقُولُونَ عَلَى اللَّهِ غَيْرَ الْحَقِّ وَكُنْتُمْ عَنْ آيَاتِهِ تَسْتَكْبِرُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:٩٣].
Na Kama Tulivo Wambie Kuwa Kunyosha Kwa Malaika Mikono Yao Kwa Wale Ambao Wamekufuru Ni Kwa Kupigwa Kwa Nguvu Mnu Na Hio Ni Daraja Ya Kwanza Ya Adhabu Na Alafu Wanambeba Kulekea Moto Wa Jahanam Kwenye Kadara Yake Ilio Wekwa, Aksema Allah Ta3ala:


وقال الله تعالى: {وَلَوْ تَرَىٰ إِذْ يَتَوَفَّى الَّذِينَ كَفَرُوا الْمَلَائِكَةُ يَضْرِبُونَ وُجُوهَهُمْ وَأَدْبَارَهُمْ وَذُوقُوا عَذَابَ الْحَرِيقِ ﴿٥٠﴾ ذَٰلِكَ بِمَا قَدَّمَتْ أَيْدِيكُمْ وَأَنَّ اللَّهَ لَيْسَ بِظَلَّامٍ لِلْعَبِيدِ ﴿٥١﴾} صدق الله العظيم [الأنفال].

Na Ba'Ada Kipigo Na Kutowa Nafsi Wanaibeba ili Waonje Adhabu Ya Kuchomwa Lakini Yeye Anapiga ukelele Sana: Eee Ole Wangu Munanipeleka Wapi? Na Hivo Ni Kwajili Amejuwa Ba,Ada Ya Kipigo Katika Kila Sehemu Ya Mbele Na Nyuma Alafu Wanaibeba Hio Nafsi Dhalimu Kwa Moto Wa Jahanam Na Hapo Ndio Yuwapiga Kilele: Kwajili Ajuwa Ba'Ad Ya Hapo Ni Moto Wa Jahanam, Ndio Akasema Allah Ta3ala:


لذلك قال تعالى: {وَلَوْ تَرَىٰ إِذْ يَتَوَفَّى الَّذِينَ كَفَرُوا الْمَلَائِكَةُ يَضْرِبُونَ وُجُوهَهُمْ وَأَدْبَارَهُمْ وَذُوقُوا عَذَابَ الْحَرِيقِ ﴿٥٠﴾} صدق الله العظيم [الأنفال].
Na Kadhalika Wana'Fanya Kumuliza Kabla Hawajamtupa Kwenye Shimo Lake Katika Moto Wa Jahanam Kwenye Jahanam Yenyewe Na Anamrushia Kwake Swali (Atid): Nini Alkuwa Ukifanya Mabaya? Na Alfu Anafanya Mtu Kafiri Amani Na Kutupa Ukaidi Nyuma Ya Mngongo Wake; Bali Amijisalimu Alafu Wanasema: Alkuwa Hatufanyi Kitu Kibaya, Lakini Atid Anamjibu; Bali Umifanya Ubaya Na Sijakudhilumu Na Atahukumu Baina Yangu Na Baina Yako Kwa Haki Hakika Allah Anajuwa yale Mulikuwa Mukifanya, Akasema Allah Ta3ala:


وقال الله تعالى: {الَّذِينَ تَتَوَفَّاهُمُ الْمَلَائِكَةُ ظَالِمِي أَنْفُسِهِمْ فَأَلْقَوُا السَّلَمَ مَا كُنَّا نَعْمَلُ مِنْ سُوءٍ} صدق الله العظيم [النحل:٢٨].

Na Kwenye Hali Hio Anakanusha Mtu Yale Yaleio Andikwa Ju Yake Na Atid Pamoja Yakuwa Hajaisoma Bado ila Tu Amimuliza Atid Kuhusu Vitendo Vake Akasema: Ulikuwa Ukifanya Nini?


{فَأَلْقَوُا السَّلَمَ مَا كُنَّا نَعْمَلُ مِنْ سُوءٍ} صدق الله العظيم [النحل:٢]

Na Alafu Tuangalie Jibu La Malaika Atid Kwa Huyu Mtu Yule Mtu Ambae Amekata Yale Aalio'Andika Ju Yake Atid, Akasema Allah Ta3ala:


وقال الله تعالى: {الَّذِينَ تَتَوَفَّاهُمُ الْمَلَائِكَةُ ظَالِمِي أَنْفُسِهِمْ فَأَلْقَوُا السَّلَمَ مَا كُنَّا نَعْمَلُ مِنْ سُوءٍ بَلَىٰ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ بِمَا كُنْتُمْ تَعْمَلُونَ} صدق الله العظيم [النحل:٢٨].
Na Yule Alio Sema:
{بَلَىٰ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ بِمَا كُنْتُمْ تَعْمَلُونَ}

Ni Malaika (Atid) Ambae Ame'Mtuhumu Mtu Kuwa Ame'Mdhulumu, Kwajili Ya Hivo Amesema; Bala Yani Ndio Wewe Ulikuwa Ukifanya Maovu Na Sija'Kudhulumu Kitu Na Atahukumu Allah Baina Yangu Na Yako Kwa Haki Na Sija'Kudhulumu Kitu, Kwajili Ya Hivo Amesema:
{إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ بِمَا كُنْتُمْ تَعْمَلُونَ}

Yani Atahukumu Baina Yangu Na Baina Yako Kwa Haki Kuwa Je ! Mimi Nimikusingizia Yale Ulikuwa Ukiyafanya? Alafu Anakuja Siku Ya Kiyama Yule Mtu Kafiri Na Malaika Atid Ana'Mwendesha Ili Ahukumu Allah Baina Yao Kwajili Anajuwa Vitendo Va Mtu, Na Kwa Hivo Atid Ambae Ame'Tuhumiwa Na Yule Mtu Kafiri Kuwa Ame'Mzulia Urongo Anakuwa Hasimu Wake Yule Mtu Na Yeye Yuwa'Mwndesha Kwa Allah Siku Ya Kiyama ili Ahukumu Baina Yao Kwa Haki,


Na Rakib Anakuwa Mahala Ya Shahidi, Hivo Ni Kwajili Alikuwa Yuko Wakati Wavitendo Vibaya Akifanya Mtu Lakini Alikwa Haja'Kalifishwa Kuandika Vitendo Vibaya Lakini Ni Mwenye Kushuhudia Kwa Yote Anao Tenda Kwajili Ya Hivo Anaitwa Siku Ya Kiyama Shahidi, Na Alafu Anatowa Ushuhuda Wake Mbele Ya Mikono Ya Allah Yakuwa Yale Alio Andika Atid Ni Haki, Na Alafu Anapinga Na Kukanusha Mtu Kwa Ushuhuda Wa Shahidi Rakib Na Ana'apa Kwa Allah Billah Yakwa'Amba Yeye Alkuwa Hafanyi Maovu, Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى: {وَيَوْمَ نَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا ثُمَّ نَقُولُ لِلَّذِينَ أَشْرَكُوا أَيْنَ شُرَكَاؤُكُمُ الَّذِينَ كُنْتُمْ تَزْعُمُونَ ﴿٢٢﴾ ثُمَّ لَمْ تَكُنْ فِتْنَتُهُمْ إِلَّا أَنْ قَالُوا وَاللَّهِ رَبِّنَا مَا كُنَّا مُشْرِكِينَ ﴿٢٣﴾ انْظُرْ كَيْفَ كَذَبُوا عَلَىٰ أَنْفُسِهِمْ ۚ وَضَلَّ عَنْهُمْ مَا كَانُوا يَفْتَرُونَ ﴿٢٤﴾} صدق الله العظيم [الأنعام].

Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى: {يَوْمَ يَبْعَثُهُمُ اللَّهُ جَمِيعًا فَيَحْلِفُونَ لَهُ كَمَا يَحْلِفُونَ لَكُمْ وَيَحْسَبُونَ أَنَّهُمْ عَلَىٰ شَيْءٍ أَلَا إِنَّهُمْ هُمُ الْكَاذِبُونَ} صدق الله العظيم [المجادلة:١٨].

Na Kwenye Hali Hio Anaziba Allah Midomo Yao Na Anatamsha Mikono Yao Na Migu Yao Na Ngozi Zao Na Zitashuhudia Kwa Yale Wanao Yatenda, Na Alafu An'Funguwa Allah Midomo Wata Tamka Na Watasema Kwa Mikono Yao Na Migu Yao Na Ngozi Zao: Mbona Mumetowa Ushuhuda Ju Yetu? Wakasema: Ametu Tamsha Allah Yule Anae Tamsha Kila Kitu, Na Hapo Inatoka Amri Ya Kiungu Kwa( Atid) Na (Rakib) Kuwa Wamtupe Yule Mtu Kwa Moto Wa Jahanam, Na Hapo Anapiga Kelele Karin Wake Mtu: Ewe Mola Wangu Mlezi Hakika Sijampoteza Lakini Alikuwa Kwenye Upotevu Wa Mbali, Akasema: Musigombane Kwangu Leo Na Nime'Tanguliza Kwenu Kwa Hi Ahadi Haibadiliki Kauli Kwangu Wala Mimi Si Mwenye KuDhulumu Waja, Akasema Allah Ta3ala:


وقال الله تعالى: {وَلَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنْسَانَ وَنَعْلَمُ مَا تُوَسْوِسُ بِهِ نَفْسُهُ وَنَحْنُ أَقْرَبُ إِلَيْهِ مِنْ حَبْلِ الْوَرِيدِ ﴿١٦﴾ إِذْ يَتَلَقَّى الْمُتَلَقِّيَانِ عَنِ الْيَمِينِ وَعَنِ الشِّمَالِ قَعِيدٌ ﴿١٧﴾ مَا يَلْفِظُ مِنْ قَوْلٍ إِلَّا لَدَيْهِ رَقِيبٌ عَتِيدٌ ﴿١٨﴾ وَجَاءَتْ سَكْرَةُ الْمَوْتِ بِالْحَقِّ ذَٰلِكَ مَا كُنْتَ مِنْهُ تَحِيدُ ﴿١٩﴾ وَنُفِخَ فِي الصُّورِ ذَٰلِكَ يَوْمُ الْوَعِيدِ ﴿٢٠﴾ وَجَاءَتْ كُلُّ نَفْسٍ مَعَهَا سَائِقٌ وَشَهِيدٌ ﴿٢١﴾ لَقَدْ كُنْتَ فِي غَفْلَةٍ مِنْ هَٰذَا فَكَشَفْنَا عَنْكَ غِطَاءَكَ فَبَصَرُكَ الْيَوْمَ حَدِيدٌ ﴿٢٢﴾ وَقَالَ قَرِينُهُ هَٰذَا مَا لَدَيَّ عَتِيدٌ ﴿٢٣﴾ أَلْقِيَا فِي جَهَنَّمَ كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٍ ﴿٢٤﴾ مَنَّاعٍ لِلْخَيْرِ مُعْتَدٍ مُرِيبٍ ﴿٢٥﴾ الَّذِي جَعَلَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ ﴿٢٦﴾ قَالَ قَرِينُهُ رَبَّنَا مَا أَطْغَيْتُهُ وَلَٰكِنْ كَانَ فِي ضَلَالٍ بَعِيدٍ ﴿٢٧﴾ قَالَ لَا تَخْتَصِمُوا لَدَيَّ وَقَدْ قَدَّمْتُ إِلَيْكُمْ بِالْوَعِيدِ ﴿٢٨﴾ مَا يُبَدَّلُ الْقَوْلُ لَدَيَّ وَمَا أَنَا بِظَلَّامٍ لِلْعَبِيدِ ﴿٢٩﴾ يَوْمَ نَقُولُ لِجَهَنَّمَ هَلِ امْتَلَأْتِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ ﴿٣٠﴾} صدق الله العظيم [ق].

Na Vile Tulivo Wafundisha Kutoka Mwanzo Kuwa Wanao Andika "AlHafadha" Wao Wame Kalifishwa Kutoka Mwanzo Mpaka Mwisho, Na Imebainika Kwenu Kuwa Mwendeshaji Ni Malaika (Atid) Ama Shahidi Ni Mwenzake Malaika (Rakib) Mwenye Kuandika Mema, Lakini Allah Ame'Mfanya Shahidi Kwa Haki Kwa'Sababu Alikuwa Yuko Wakati Akitenda Matendo Maovu Kutoka Kwa Mtu Na Hakumona (Rakib) Kuwa Malaik (Atid) HakuMwandikia Yule Mtu Ispokuwa Yale Alio Yafanya Na Kwa Hayo (Rakib) Ni Mwenye Kushuhudia Kwajili Ya Hivo Ametowa Ushuhuda Wake Mbele Ya Mikono Ya Allah Akasema:
وقال: {وَقَالَ قَرِينُهُ هَٰذَا مَا لَدَيَّ عَتيدٌ}

Na Hio Ndio Ushuhuda Alio Towa (rakib) Mwenzake (Atid) Mbele Ya Mikono Ya Allah Kuwa Alio Andika (Atid) Ni Haki Wala Hajamdulumi Mtu Kitu, Na (Rakib) Yeye Ndio Mwenzake Mwendeshaji Na Mwendeshaji Ni Malaika (Atid) Ana'Mwendesha Mtu Kwa Mola Mlezi Wake Ili Ahukumu Baina Yao Je! Amemdhulumu, Na Musisahau Kuwa Yule Mtu Ame'Kanusha Matendo Yake Maovu Yote Yalio'Andikwa Na (Atid) Kwajili Ya Hivo Amesema Yule Mtu Mwenye Matendo Maovu Kuwa Yeye Hatenda Maovu Kitu Akawa( Atid) Amemzulia Ju Yake Pindi Ni Mkweli Hajafanya Maovu, Na Angalia Vile Anavo Kanusha, Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى: {الَّذِينَ تَتَوَفَّاهُمُ الْمَلَائِكَةُ ظَالِمِي أَنْفُسِهِمْ فَأَلْقَوُا السَّلَمَ مَا كُنَّا نَعْمَلُ مِنْ سُوءٍ} صدق الله العظيم [النحل:٢٨].

Kwajili Ya Hivo Tunapata Malaika Atid Ana'Mwendesha Yule Mtu Kwa Mola Mlezi Wake ili Ahukumu Baina Yao Kwa Haki Na Mukumbuke Kauli Ya Atid, Akasema Allah Ta3ala:


وقال تعالى: {الَّذِينَ تَتَوَفَّاهُمُ الْمَلَائِكَةُ ظَالِمِي أَنْفُسِهِمْ فَأَلْقَوُا السَّلَمَ مَا كُنَّا نَعْمَلُ مِنْ سُوءٍ بَلَىٰ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ بِمَا كُنْتُمْ تَعْمَلُونَ} صدق الله العظيم [النحل:٢٨].
Na Ama Kauli Ya Atid Ni:
{بَلَىٰ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ بِمَا كُنْتُمْ تَعْمَلُونَ}

Yani Ame'Rudisha Hukmu Kwa Allah ili Ahukumu Baina Yao Ndio Hivo Tunapata Atid Ndio Mwendeshaji Wa Mtu Siku Ya Kiyama, Na Ama Malaika Rakib Ndio Tunapata Ni Shahidi Kwajili Alikuwa Yuko Pamoja Na YULE Mtu Mwenye Matendo Maovu Na Pamoja na Atid Ambae Ame'Kalifishwa Na Hakushuhudia Kuwa Atid Ame'Mwandika Yale Haku'Yatenda Kwajili Ya Hivo Allah Amemfanya Shaidi Wa Haki Ndio Akatowa Ushuhuda Wake Mbele Ya Mikono Ya Allah Nayo Kauliyake Ta3ala:
وهي قوله تعالى: {وَقَالَ قَرِينُهُ هَٰذَا مَا لَدَيَّ عَتِيدٌ} صدق الله العظيم.
Na Anakusudia Kwa Kauli Yake( Qarinuhu) Yani Mwenzake Mwendeshaji Wala Sio Qarin Wa Mtu, Na Tumi'Wafundisha Kuwa Mwendeshaji Ni Malaika Atid, Na Ama Qarin Wake Ni Rafiki Yake Malaika Rakib, Na Ama Qarin Wa Mtu Ni Shetani Na Yeye Ndio Alio'Sema: Mola Mlezi Wangu Sija'Mpoteza Lakini Alikuwa Kwenye Upotevu Wa Mbali, Na Pindi Muki Pele'Leza Mutakuta Amri Yatoka Kwa Walio Kalifishwa Kwa Mtu Na Wao Ni Wawili Na Wao ni Mwendeshaji Malaika Atid Na Shahidi Malaika Rakib, Na Ba'Ada Kutowa Malaika Rakib Ushuhuda Wake Ame'Mpinga Na Kukanusha Kwa Ushuhuda Wake Yule Mtu Ndio Bada Hapo IkatowavUshuhuda Kiwili Wili Chake Na Ngozi Yake Na Alafu Ndio Ikatoka Amri Kwa Malaika Wote Wawili Rakib Na Atid Kuwa Wamtupe Kwa Moto Wa Jahanam Na Imeisha Na Imikatika Kazi Yao Ju Ya Watu Kwajili Ya Hivo Mutakuta Amri Yatoka Kwa Wawuli ,Akasema Allah Ta3ala:

وقال تعالى: {وَقَالَ قَرِينُهُ هَٰذَا مَا لَدَيَّ عَتِيدٌ ﴿٢٣﴾ أَلْقِيَا فِي جَهَنَّمَ كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٍ ﴿٢٤﴾ مَنَّاعٍ لِلْخَيْرِ مُعْتَدٍ مُرِيبٍ ﴿٢٥﴾ الَّذِي جَعَلَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ ﴿٢٦﴾} صدق الله العظيم [ق].

Na Hi Aya Iko Wazi Na Yabainika Kuwa Walio Kalifishwa Ni Wawili Kutoka Mwanzo Hadi Mwisho Na Wao Ni Malaika Atid Na Malaika Rakib Kwajili Ya Hivo Mutapata Amri Ya Kiungu Imitoka Kwa wawili Mara Mbili, Akasema Allah Ta3ala:
وقال تعالى: {أَلْقِيَا فِي جَهَنَّمَ كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٍ ﴿٢٤﴾ مَنَّاعٍ لِلْخَيْرِ مُعْتَدٍ مُرِيبٍ ﴿٢٥﴾ الَّذِي جَعَلَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ ﴿٢٦﴾} صدق الله العظيم [ق]

Kwahivo Imebainika Kwenu Ya Kuwa Malaika Wa Mauti Ni Hawo Hawo Atid Na Rakib Na Kuwa Wao Hawabanduki Wakamwacha Mtu; Bali Kutoka Mwanzo Mpaka Wakati Wa Kufa Wanamfisha Na Wao Hawa'Mbanduki Yani Wanaendelea Kwa'Kutakilifishwa Ba'Ada Ya Kufa Mpaka Wamtupe Kwenye Adhabu Ya Nguvu Mwili Na Roho.
Na Mutadabar Hi Aya Vizuri:


{وَيُرْسِلُ عَلَيْكُمْ حَفَظَةً حَتَّىٰ إِذَا جَاءَ أَحَدَكُمُ الْمَوْتُ تَوَفَّتْهُ رُسُلُنَا وَهُمْ لَا يفرّطون}
Lakini Nyinyi Munadhani Yakuwa Watumwa Wa Mauti Ni Wapya Bali Ni Hawo Hawo Walio'Tumwa Kutoka Mwanzo Atid Na Rakib, Kwajili Ya Hivo Amesema:
{حَتَّىٰ إِذَا جَاءَ أَحَدَكُمُ الْمَوْتُ تَوَفَّتْهُ رُسُلُنَا وَهُمْ لَا يُفَرِّطُونَ} صدق الله العظيم
Na Yote Hi Bayana Sio Ila Ni Tafsiri Ya Hi Aya Ambao Ame'Taka Kwangu Ndugu Yangu (Habi'Alhabib) Kuwa Ni Tafsiri Nayo Ni hi Kauli Yake Allah Ta3ala:
قوله تعالى: {مَا يَلْفِظُ مِنْ قَوْلٍ إِلَّا لَدَيْهِ رَقِيبٌ عَتِيدٌ} صدق الله العظيم [ق:١٨]
Ndio Tukawandikia Bayana Ilio Fupishwa Ya Hi Aya Na Tumifafanuwa Ufafanuzi Na Bado Tunayo Nyingi Katika Maburhani Ya Tauwil Ya Haki Lakini Tunaziweka Wanao'Jifanya Wajuwa Tuwabomowe kubomoa, Na Utadabar Ewe Habib Alhabib Na Utafakari Na Ikiwa Unayo Bayana Bora Kuliko Ya Tauwili yangu Na Tafsiri Bora Basi Tulete Na Uthibitishe Kuwa Tafsiri yangu Hi Iko Katika Upotevu Ulio Wazi, Lakini Mimi nakwambia Huwezi Kusema Kuwa Hio Ni Batil Na hivo Ni Kwajili Sijaleta Tauwil Ya Aya Kwa Dha'Nna Na Ijtihada Kutoka Kichwa Changu Bali Ta'Awil Zote Kutokana Na Nafsi Ya Al'Quran Al3adhim, Kwa Hio Huwezi kukanusha Al'Quran ila Uwe Katika Makafiri Kwa Al'Quran Al3adhim, Na Nakariri Alafu Nakariri Alafu Na Kariri Na Nasema: Enyi Jami Ya Wanazuoni Wote Pindi Mukinijadili Kutoka na Al'Quran Muka'Nishinda Basi hakika Niwe Mimi na La'ana Ya Allah Na Malaika Wake Na Watu Wote Na Nikiwashinda Na Mukajuwa Kuwa Bayana Yangu Ni Ya Haki Ilio'Wazi Alafu Musi'Kubali Haki Basi Ju yenu La'ana Ya Allah Na Malaika Wake Na Watu Wote Na Mwenye Kunyamaza Kwa Haki Ni Shetani bubu, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin,
Na Nakusudia Laana Kwa Wale Ambao Wamejuwa Kwa Yakini Kuwa Mimi Kweli Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Alafu Wakanyamaza Kunusuru Haki Kama Kwamba Hili Jambo Hali Wahusu Kitu !


Lakini Enyi Ma'ashara Ya Wanazuoni Wa umma hivi Hamuoni Kuwa Waislamu Wanaweka Imani Yao Kuhusu Mimi Mpaka Wamini Kuhusu Mimi Wanazuoni Wawaislamu? Na Hio Imepita Miyaka Mitatu Na Mimi Nawalika Wanazuoni Wa Ummah Kwenye Mazungumzo Nazunguka Na Niki'Ita Kwenye Uwanja Wa Mazungumzo Na Huku Nikisema Je ! Kuna Mwenye Kupambana Kwa Ilmu Na Kitabu Kinacho Angaza? Na Nasmama Kubomoa Akida za Batil Na Ju Ya Hayo Sioni Kuwa Wanazuoni Wa Umma Wanatamka Kitu Wasmame Kunizuwia Kupotosha Dini Ikiwa Waniona Niko Katika Upotevu Ulio Wazi Ama Waninusuri Kwa Kukiri Kwa Haki Ikiwa Waniona Mimi Natamka Kwa Haki Na Naongoza Kwa Njia ilio Nyoka Lakini Bado Wayumba Yumba Hawako Dhidi Yangu Wala Hawako Na Mimi, Na Yoyote Mwenye Alitakiwa Na Allah Akmdhihirisha Kuhusu Mimi Kwenye Mtandao Wa Ulimwengu Wa Kientarneti Na Alafu Asiwajulishe Watu Na Kuwa'Tanabaisha Kwa Kadara Ya Uwezo Wake Basi Yeye Ana Dhambi La Moyo Wake Na Ataulizwa Na Allah Kuhusu Msimamo Wake Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Al'Nasser Li Muhammad Mtume wa Allah Na Al'Quran Al'3adhim.


Na Enye Ma'Ashara Ya Watafiti Wa Haki Kwenye Mtandao Wa Kilimwengu Wa Kientrneti Mcheni Allah Na Mufikishe Kuhusu Mimi Wanazuoni Wote Na Wenye kutowa Fatwa Katika Miji Ya Kislamu Na Musiwe Wajinga Kwa Mujarad Kwa Anacho Sema Moja Wa Wanazuoni Kuwa Nasser Muhammad Al'Yamani Yuko Kwenye Upotevu Ulio Wazi Na Museme Sadakta! Na ewe mwanachuoni mjuwaji Mwenye Kutowa Fatwa Bila Ilimu Wala Kitabu Kinacho'Angaza La Bali Ametuhukumu Kuwa Tuko Kwenye Upotevu Bila Ilimu Wala Utawala Ndio Mukawazuwia Na Amewahadhirisha Allah Misismame Kwenye Hamuna Ilmu Nako Hakika Ya Macho Na Maskio Na Moyo yote Hio Itakuwa Kwako Ni Wenye Kulizwa, Na Mwenye Kukanusha Jambo Langu Ju Yake Aniwajihi Kwenye Chombo cha Mazungumzo Cha Mtandao Wa Kilimwengu Ya kientarneti Na Anibomoe Kwenye tuvoti Yangu kubomoa Katika tuvoti Ya Al'Hiwar All'Islami Ya Kilimwengu Ma'Wuqi3 Al'Bushara,


Na Ewe Ibnu Omar Mimi Nakuapisha Kwa Allah Al'3aliyu Al3adhim Pindi Wakini'Shinda Wanazuoni Wa umma Ama Hata Moja Wao Uwache Khi-tabu Yake Kwenye tuvoti Yangu ili Ibainike Kwa Umma Kua Mimi Niko Kwenye Upotevu Ulio Wazi Akinishinda Kwa Ilmu Na Sultan Inaoangaza, Na Mimi Nasser Muhammad Al'Yamani Nasema Pindi Akinishinda Moja Katika Wanazuoni Wa Umma Ama Wote Ama Ba'adhi Yao Kwa Ilimu Na Utawala Ulio'Angazia Basi Hakika Nipate Laana Ya Allah Na Malaika Wake Na Watu Wote Kwa Kila Wakati Na Dakika Na Kila Nukta Katika Idadi Ya Miyaka Mpaka Wasmame Watu Kwa Mola Mlezi Wa'Walimwengu, Lakini Wao Hawawezi; Na Je Mwajuwa Kwanini Mimi Niko Na Hakika Kwamba Hawawezi? kwajili Ya Hivo Hawatoweza Sababu Mimi Nimijihami Na Ilimu Na Utawala Kutokana Na Kitabu Kinao'Angaza Al'Quran Al'3adhim Hadithi Ya Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Na Hadithi Ipi Ba'Ada Ya Hio Watamini? Na Salam Kwa Habib Alhabib Na Waislamu Wote, Asalam Ju Yetu Na Waja Wake Wema Wote, Na Salam Ju Ya Mitume Wote, Na Alhamdulillah Rabi Alalamin..


Ndugu Yenu Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ..


۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞


------

======== اقتباس =========